Kinachomsumbua Lowassa ni hiki

Kinachomsumbua Lowassa ni hiki

Hivyo vitabu huwa mnavisoma lakini nina mashaka kama hata huwa mnaelewa hasa maudhui yake!
Kwa maana hayo uliyoyataja yako kwa Binadamu wote na kama hivyo ndivyo basi unaweza kusema kwa Msaka yoyote yule wa Uraisi kuanzia Pinda, Kigwangala, Slaa, Zito, mpaka Lipumba hivyo kama ni kweli umekielewa hicho kitabui sielewi ni kwa nini unamwandama Lowasa peke yake!
uko sawa kabisa
 
makosa ya EL ni yapi kama kweli ni mchafu kiasi hicho ccm iko makini aiwezi kumpitisha kupeperusha bendera ya chama kwenye uchaguzi mkuu mwenyekiti mwenyewe amekiri muda wa kufikiri kuwa ukiwa mgombea kwa tikiti ya ccm tayari umeshinda umepita na wakati
 
wewe ni zuzu, ndio walewale mnaopewa pilau kwisha kazi, kama unashindwa hata kuunganisha kujiuzulu kwa EL na ufisadi wa Richmond basi hata upigiwe panda ni kazi bure. BYE.

Yaani nimefatilia nimegundua wewe ni kichwa ngumu alafu mgumu kuelewa! Chuki tu zinakutoa povu na mtakoma mwaka huu..mtahama hii nchi.
 
Mimi tatizo langu kwa huyu ni endapo atapata urais, fadhila atakazo lipa kwa hao anaowaita marafiki zake wanaomfadhili sasa zitaiicha hii nchi kuwa jangwaa, naomba atuache na shida hizi hizi aisee.

Ni msaka urais gan hana wafadiili?ebu tupe orodha ya hao wasiokua na wafadhili,wapambe na wala marafiki mkuu.
 
Hatupaswi kuwa na rais alietuhumiwa kwa ufisadi.
 
Mhe Kikwetu amekwisha kukuambia watateua mgombea anayekubalika na wananchi. Vile vile EL anataka kutimiza ndoto zake. Wajibu wako ni kupiga kura.
 
Yaani wewe pumba kupitia maelezo. Hata maana ya self actualization huifahamu. Kavute bangi then kalale

Vijana wengine hata vyuoni huwa ni bure kabisa kweli mtoa maada ni kiazi tu! Na utakuta huyo ni administrator by professio,. Nikufundishe kdg japo somo halikuwa professional yangu: Maana yake hasa hutumika kwa wastaafu wa same field, mfano dr. Mstaafu kupewa fursa na mwajiri wake kuendelea kuattend wagonjwa hosptl hii huwapa confidence na recognition kwao kwani hujiona bado mchango wao unaendelea kuthaminiwa na mwajiri na jamii pia.
 
Sasa hao ulowataja kama kweli unajitambua ni nani ambaye hajatimiza hayo mahitaji aloorodhesha mleta maada?

Hivi unaelewa uongozi wowote hata wa familia ukihitaji uupate na kumaintain mamlaka fedha lazima itumike? Oa mke na zaa watoto usipotimiza wajibu wsko kama baba, hata shikamoo huipati toka kwa wanao??? Watu wenye akili wanataka kutuaminisha unaweza kuwa rais bila kutumia pesa??? Hizi ni ndoto mbaya na kujilisha upepo, mie napenda kufuatilia mchakato wa wagombea urais USA mara nyingi kuteuliwa ngazi ya chama kuna upinzani mkubwa sana na fedha nyingi mno hutumika toka kwa mgombea na supporters wake! Ubunge tu ama udiwani watu wanaspend mpk wanafilisika ndo urais mtu asitumie fedha??? Basi amkeni tukachukue form, yenyewe ya urais ni milion 5
 
Yaani nimefatilia nimegundua wewe ni kichwa ngumu alafu mgumu kuelewa! Chuki tu zinakutoa povu na mtakoma mwaka huu..mtahama hii nchi.

Mna watisha watu mtahama ninyi maana huyo fisadi hawezi kwenda ikulu.
 
uko sawa kabisa

hayuko sawa kwa sabab mnasema lowasa hana shida na hela zenu ameshiba jamaa ameonyesha jinsi nafsi ya binadamu isivyoshiba mali na sifa. jingine mwenendo wa lowasa kuendea ikulu unatiliwa shaka kama kweli ana nia njema na watanzania mana amehonga watu wengi kwa lengo hilo hela izo atarudishaje akiwa rais?
 
Yaani wewe pumba kupitia maelezo. Hata maana ya self actualization huifahamu. Kavute bangi then kalale

Great thinkers huelezea mambo - nini maana yake? labda utamzidi Maslow leo!!!!

halafu text rekebisha
 
Back
Top Bottom