Kinachomsumbua Lowassa ni hiki

Kinachomsumbua Lowassa ni hiki

We are all come from history, Ujasiria mali na uongozi wa walala hoi wapi na wapi?
ukishajijengea himaya pumzika waache walio safi watuongoze

Inahusiana vipi na mada uliyoiandika? Na una uhakika gani kama Lowasa ni mjasiriamali kama ulivyosema? Una uhakika gani kama Lowasa amejenga hiyo Himaya unayoiongelea? Na ahao unaosema ni wasafi una ushahidi gani wa usafi wao?
 
Kuna kitu kinaitwa "power",hicho hajapata mkuu.
Kuwa na nafasi ya walau ukipenda uweke picha yako kwenye noti...
Kupigiwa mizinga..
Kutandikiwa zuria jekundu...
Yapo mengi mkuu...
 
Mungu wangu!!
huyu ni wa kigoma nini,
hata ukiambiwa dodoma kuna ukame utasema thibitisha!
haya wewe ni binadamu, utadai nikuthibitishie? call a spade a spade bw.
 
Mengi yanasemwa hapa Duniani, Miaka mingi yalisemwa kwamba Dunia ni tambarare lkn leo hii tunajua haikuwa kweli na kwamba Dunia ni Duara, hivyo kusema tu, kila mtu anaweza mwisho wa siku kinachomata ni uthibistisho!
Dodoma kuna Ukame sina haja ya kukwambia thibitisha kwa maana nimefika Dodoma na nimeona Ukame, Mimi ni binadamu na uthibitisho ninao kutokana na tabia za kibaolojia za kibinadamu!

sasa wewe hauwezi kumuita mtu Mwizi kama hauwezi kusema ameiba nini au hauwezi kusema fulani ni mwaminifu kama hauwezi kusema uaminifu wake uko wapi!Kama unasema Lowasa ni mwizi na tajiri basi sema kuhusu Utajiri wake na ameiba nini na kama unasema fulani ni msafi na sema usafi wake, kumbuka kama tu ukileta ushahidi wa wizi na utajiri wa Lowasa na jinsi alivyoupata basi hamna hata haja ya majungu Ushahidi wako utammaliza moja kwa moja!
 
Mengi yanasemwa hapa Duniani, Miaka mingi yalisemwa kwamba Dunia ni tambarare lkn leo hii tunajua haikuwa kweli na kwamba Dunia ni Duara, hivyo kusema tu, kila mtu anaweza mwisho wa siku kinachomata ni uthibistisho!Dodoma kuna Ukame sina haja ya kukwambia thibitisha kwa maana nimefika Dodoma na nimeona Ukame, Mimi ni binadamu na uthibitisho ninao kutokana na tabia za kibaolojia za kibinadamu!

sasa wewe hauwezi kumuita mtu Mwizi kama hauwezi kusema ameiba nini au hauwezi kusema fulani ni mwaminifu kama hauwezi kusema uaminifu wake uko wapi!Kama unasema Lowasa ni mwizi na tajiri basi sema kuhusu Utajiri wake na ameiba nini na kama unasema fulani ni msafi na sema usafi wake, kumbuka kama tu ukileta ushahidi wa wizi na utajiri wa Lowasa na jinsi alivyoupata basi hamna hata haja ya majungu Ushahidi wako utammaliza moja kwa moja!

Tatizo ni information, wa TZ ni wavivu sana kutafuta au hata kusikiliza habari, unavyokua unatakiwa ukue ukiwa informed na mambo ya nchi yako, sasa mimi nitaazia wapi? eiaisisi? majumba ya njiro? Lepads tuwaz? Epar? Richmodels? kwa msaada ingia tovutu/wavuti ya bunge uangalie hansard za 2008 urejee vimemo walivyopewa kina mrindiko wakavificha na kutoa kwa kamati ya mwamkebye vikiwa na sahihi zake. vyote vikiamuru deal isifeli
Tafuteni habari jamani,
 
Hayo yote tumeyasikia na hakuna uthibitisho wowote ule, kama ni kweli ana yote hayo na ni mwizi kwa nini hapelekwi mahakamani na kushitakiwa? Hata mimi nimekuwa mtaani kwetu tumekuwa tukiambiwa haya majumba ya fulani Mkubwa fulani hivi kumbe leo hii tunajua ni Majumba ya Muhindi amepangisha Wachina na wala hayana uhusinao wowote ule na yule tuliyeambiwa!

Hivyo kama wewe unaona Watz ni Wavivu kusoma huo wizi wa Lowasa na wewe unaujua na una uhakika nao basi mfungulie mshitaka halafu yeye Mahakama itamwambia alete ushahidi wa hizo mali hilo likifanyika basi Lowasa atakuwa hana ujanja vinginevyo wengi wetu tunaona ni majungu tu na anaonewa bure baba wa watu!
 
Hahahahaaaa kijana fungua macho, elewa dunia unayoishi, si kila mtuhumiwa anapelekwa kortini, panya kufunga paka kengele? elewa pia sheria na ukweli/haki ni vitu 2 tofauti ......
jiulize Kenge pamoja na kukiri vijisent New jersey na vya RugMalira mbona hapandishwi Kisutu?
 
Tatizo ni kwamba siwezi kuamini ya kwamba Lowasa ni mwizi kwa kuwa tu wewe au yule mmesema hivyo, Je kama una ugomvi binafsi na Lowasa na umeamua kumsingizia mimi nitajuaje?
Yaani ni kwanini nikuamini wewe juu ya uhalifu wa Lowasa? Kama nilivyosema kama ukija na uthibitisho juu ya Uhalifu wa Lowasa na Utajiri wake basi utakuwa umemmaliza kisiasa, lakini vinginevyo yanabaki kuwa Majungu kama vile kuna wakati tuliambiwa Mama Mkapa anamiliki Meli za Mafuta na kila Jengo kubwa hapa Mjini lilikuwa lake!
 
Siku moja akihojiwa kwenye TV alikuwa akimshangaa Gadaffi kwa kujilimbikizia mali. Hiyo ulikuwa ni wakati wa vurugu za Libya. Huenda sisi tunamuona vingine tofauti na yeye anavyohifahamu!!

Mimi tatizo langu kwa huyu ni endapo atapata urais, fadhila atakazo lipa kwa hao anaowaita marafiki zake wanaomfadhili sasa zitaiicha hii nchi kuwa jangwaa, naomba atuache na shida hizi hizi aisee.
 
Tatizo ni kwamba siwezi kuamini ya kwamba Lowasa ni mwizi kwa kuwa tu wewe au yule mmesema hivyo, Je kama una ugomvi binafsi na Lowasa na umeamua kumsingizia mimi nitajuaje?
Yaani ni kwanini nikuamini wewe juu ya uhalifu wa Lowasa? Kama nilivyosema kama ukija na uthibitisho juu ya Uhalifu wa Lowasa na Utajiri wake basi utakuwa umemmaliza kisiasa, lakini vinginevyo yanabaki kuwa Majungu kama vile kuna wakati tuliambiwa Mama Mkapa anamiliki Meli za Mafuta na kila Jengo kubwa hapa Mjini lilikuwa lake!

wewe ni zuzu, ndio walewale mnaopewa pilau kwisha kazi, kama unashindwa hata kuunganisha kujiuzulu kwa EL na ufisadi wa Richmond basi hata upigiwe panda ni kazi bure. BYE.
 
Mimi tatizo langu kwa huyu ni endapo atapata urais, fadhila atakazo lipa kwa hao anaowaita marafiki zake wanaomfadhili sasa zitaiicha hii nchi kuwa jangwaa, naomba atuache na shida hizi hizi aisee.

Wonderful comments!!
umegonga points zote kaka
 
wewe ni zuzu, ndio walewale mnaopewa pilau kwisha kazi, kama unashindwa hata kuunganisha kujiuzulu kwa EL na ufisadi wa Richmond basi hata upigiwe panda ni kazi bure. BYE.

Umemwambia; ugumu ni kukuelewa! Kama yamepigwa ganzi vile....
 
Kuna kitu kinaitwa "power",hicho hajapata mkuu.
Kuwa na nafasi ya walau ukipenda uweke picha yako kwenye noti...
Kupigiwa mizinga..
Kutandikiwa zuria jekundu...
Yapo mengi mkuu...

Exacly kaka, hayo uliyosema yote ndiyo yaliyomo ktk self - actualization
 
CosaNostra

Yaani wewe pumba kupitia maelezo. Hata maana ya self actualization huifahamu. Kavute bangi then kalale
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom