wewe ni zuzu, ndio walewale mnaopewa pilau kwisha kazi, kama unashindwa hata kuunganisha kujiuzulu kwa EL na ufisadi wa Richmond basi hata upigiwe panda ni kazi bure. BYE.
CHUKI BINAFSI haifai ndugu yangu. Wewe unapayuka na kumpaka matope huku mitandaoni mwenzako amenyamaza kimya hana muda na mada za kijinga anachanja mbuga. Kihunzi cha kwanza ameruka cha kuongezewa adhabu.