Kinachomsumbua Lowassa ni hiki

Kinachomsumbua Lowassa ni hiki

Unajua mitazamo ya watu kuhusu jambo/kitu fulani ni aina 3.
1. Optimist
2. Pessimist
3. Objective

EL ni homeboy wangu na church meber wangu sina chuki yoyote ila mimi niko Objective to the subject.
Nakushauri uwe Objective unapo-discuss mambo, Hata EL ana mambo mazuri tu, but tulionywa na MWL. kuwa mtu anayependa sana kwenda Ikulu tumwogope kama .....

Hii kumuandama mtu mmoja tu kwenye hili jukwaa ikionesha dhahiri ni kundi la kumchafua mtu si sawa. Huyu Lowassa si malaika ana madhaifu yake mengi tu na mazuri yake mengi pia kama ulivyosema. lakini aliyetangaza kugombea uraisi si yeye peke yake. Iweje anayeandamwa ni yeye tu???
 
CosaNostra

mnahangaika sana,nadhani silaha yenu ya mwisho ya kifungo imeprove failer
 
Last edited by a moderator:
Amemsoma na kumleta kwenye nadharia yaani theory. Yawezekana hata yeye Lowasa hajui hilo lakini ndiyo wataalam wa tabia za binadamu (psychologists) wanavyosema. Nadharia ni maarifa yanayotokana na utafiti uliofanyika na kuthibitika kuwa ni kweli.

Kwa mtu mwelewa binadamu is a complex creature amabaye hata yeye mwenyewe hajielewi vizuri na ndiyo maana wakati mwingne hutokea akijiuliza yeye mwenyewe ' Sijui nini kilitokea nikajikuta tu nimetembea naye, nagombana naye, napiganaye hata sielewi ilikuwaje?.

Yawezekana hata Lowasaanafanya yote haya pasipokujijua anafanya nini. Baada ya muda kupita atakujajutia hakuelwa hata kwa nini ilikuwa kama ilivyokuwa. Siyo ajabu, si semi ni lazima iwe hivyo lakini pia inawezekana who knows? Ndiyo maana mtoa mada ameshauri alivyoshauri
Ndivyo alivyokuambia❔
 
Siyo kwamba kuna kundi la kumchafua mtu, lipo pia kundi la kumtetea, tena hilo ndiyo kubwa zaidi. Hakuna mwenye shida na Lowasa kama mtu, wanachozungumzia walio wengi ni nafasi ya urais. Nafasi hii ni ya watanzania wote hivyo ni lazima wenye nafasi WATANZANIA wawena hakika kuwa nafasi kubwa kama hii haiendi kwa mtu wasiyempenda, mwenye makando kando. Akishapata nafasi hii atakuwa na uwezo wa kuamua na kutekeleza chochote kwa niaba ya watanzania ikiwa ni pamoja na kutia saini ya mtanzania yeyote kunyongwa.

Siyo jambo la kukubalika na watu wawili watatu wa CCM, hapana ni jambo pana linahitaji mjadala mpana ili baadaye tusijekujutia badala yake tujekujipongeza kuwa tulichagua mtu makini si kwa watanzana tu lakini hata kwa mataifa ya nje watuheshimu kwa kumpeleka mtu makini kwenye mijadala ya kimataifa. States man siyo mtu wa kutia aibu. Kiongozi ni kioo cha jamii anamotoka.

Ukipeleka mtu mla rushwa kwenye mataifa ni ishara kuwa ni Taifa la wala rushwa, lakini sisi watanzania tunasema kuwa samaki mbovu anaishia jikoni hapelekwi mezani kwa wageni.
Hii kumuandama mtu mmoja tu kwenye hili jukwaa ikionesha dhahiri ni kundi la kumchafua mtu si sawa. Huyu Lowassa si malaika ana madhaifu yake mengi tu na mazuri yake mengi pia kama ulivyosema. lakini aliyetangaza kugombea uraisi si yeye peke yake. Iweje anayeandamwa ni yeye tu???
 
Sawa; BUT any proof of commission?!; prove me wrong bro! am given to understand that most EL critics are driven by mere presumptions and most are fed by the grape vine?! Unfortunately EL has become the RAO; read Raila Amolo Odinga of Tanzania; the man most people love to hate!!

Bro sijui wewe ni mfuatiliaji wa mambo kwa kiasi gani, No proof can change the Optimist or Pessimist's position, but to be Objective; and if hukuibukia juzijuzi tu hapa, mambo ya huyu bw. ni makubwa tangu awatengeneze wale jamaa wa L.

Tours miaka ya mwanzo ya 90 hadi hii Richmond, Kagoda, n.k. kama mfuatiliaji wa mambo utahitaji proof gani tena? Ujinga wa watu wetu watadai utoe ushahidi huku wakiziba macho kabisa juu ya circumstantial evidences zote zinazomzunguka mtuhumiwa.Unadhani ukisema " haya tumwache , hakuna ushahidi" ndo anakuwa msafi? jamani tufungue bongo zetu!
 
Hii kumuandama mtu mmoja tu kwenye hili jukwaa ikionesha dhahiri ni kundi la kumchafua mtu si sawa. Huyu Lowassa si malaika ana madhaifu yake mengi tu na mazuri yake mengi pia kama ulivyosema. lakini aliyetangaza kugombea uraisi si yeye peke yake. Iweje anayeandamwa ni yeye tu???

Sababu ni kupenda sana kwenda Ikulu hadi kukodi bodaboda za Mbarali "zimfuate Dom " eti kumwomba agombee, jiulize makundi mangapi yamejikodi kumfuata EL? hizo fedha zinatoka wapi? boda anayesaka buku buku anapata mafuta ya km 1200 wapi?
 
Bro sijui wewe ni mfuatiliaji wa mambo kwa kiasi gani, No proof can change the Optimist or Pessimist's position, but to be Objective; and if hukuibukia juzijuzi tu hapa, mambo ya huyu bw. ni makubwa tangu awatengeneze wale jamaa wa L. Tours miaka ya mwanzo ya 90 hadi hii Richmond, Kagoda, n.k. kama mfuatiliaji wa mambo utahitaji proof gani tena? Ujinga wa watu wetu watadai utoe ushahidi huku wakiziba macho kabisa juu ya circumstantial evidences zote zinazomzunguka mtuhumiwa.Unadhani ukisema " haya tumwache , hakuna ushahidi" ndo anakuwa msafi? jamani tufungue bongo zetu!

Utter nonsense; unfortunately you are informed by the grape vine and hear say; driven by hate and naivety, Eti nimeibukia hapa juzi juzi?!! shame on you; umenilazimisha kuangalia upya status yako nikagundua kwamba wakati great thinkers tunaanza kuchambua mambo hapa jamvini; wewe ama ulikuwa unamalizia shule ya kata ambayo inaelekea pia k ulihudhuria tu; wala hukuelimika!! ndio maana unadandia treni kwa mbele! kwani kama ungefanya homework yako vizuri usingeandika sentensi hiyo hapo juu in bold! kijana usicheze ngoma usiyoijua; utapasuka msamba!

Hebu look at this!! then Compare & Contrast; Cogitate & Ponder; analyze & extrapolate!!

Your Status: Cosa Nostra.
Ranking: Senior memberJoin Date: 20th October 2014
Posts: 112
Rep Power: 420
Likes Received: 25
Likes Given: 16

My status: MTK
Ranking: JF Senior Expert Member

Join Date: 19th April 2012
Posts: 2,719
Rep Power: 85904831
Likes Received:1067

Likes Given: 975

Lumpen proletariat; does this make any sense to you?!?! Bs
 
Pili pili ziko shamba wewe zakushia nini?
Mbona uanaandika vitu visivyoeleweka una maana gani pilipili ipo shamba, pilipili gani hiyo ilioko shamba? Kila mwananchi anahaki ya kutoa rai yake katika suala kama hili na linamuhusu.
 
Back
Top Bottom