Kinachoendelea Zimbabwe: Nchi yawekwa chini ya Jeshi, Mugabe kung'olewa?!

Mkuu unadhani ikitoka ccm tu ndiyo kila kitu kitakuwa sawa? katoka Gadafi huko Libya ila mambo ndiyo yamezidi kuwa mabaya,huko Kenya wana katiba mpya ila bado tatizo lao la siku zote linaendelea kuwasumbua.

Kwanza litoke ili dubwashika linaloitwa CCM, ,MAMBO mengine yatafuatia, ,,,,
 
Chama tawala nchini Zimbabwe ZANU-PF kimemtaka Rais Robert Mugabe ajiuzulu. Matawi ya chama hicho katika majimbo yote10 yalikutana jana na yamemtaka Mugabe na mkewe Grace, ambaye azma yake ya kutaka kurithi madaraka kutoka kwa mumewe imechochea mzozo wa kisiasa, kujiuzulu kutoka kwenye chama hicho. ZANU PF kimeitisha maandamano Jumamosi mjini Harare.

Source DW

MAONI YANGU.
Hapo inatuonyesha wazi ni namna gani jeshi la Zimbabwe limekomaa ktk mipango yake... Ninaamini, kama akikataa kujiuzuru basi jeshi litakishawishi tena chama kumnyang'anya kadi na huo ndio utakuwa mwisho wa mwisho wa Mugabe. Jiondokee tu mzee ukalee vitukuu Jeshi, Chama, Wananchi wameshakuchoka, utapata uungwaji mkono toka wapi?
ndoto za abunwasi. Lakini ni akili yako mkuu. pambana
 
ZANU-PF kimeitisha maandamano ya kumtaka Comrade Robert G. Mugabe, Supreme Leader and founder wa chama kujiuzulu! Haya mavyama kongwe na yaliyochoka huku Afrika ni tabu sana; huwa yanawaona wananchi kama mazezeta vile. Waache usanii pumbavu zao!
Hata Libya kwa shinikizo na propaganda za wazungu walisema hivyo hivyo. sasa hivi wako wapi? kubaka historia ni hatari sana kuliko kubaka mwanamke
 
Mkuu unadhani ikitoka ccm tu ndiyo kila kitu kitakuwa sawa? katoka Gadafi huko Libya ila mambo ndiyo yamezidi kuwa mabaya,huko Kenya wana katiba mpya ila bado tatizo lao la siku zote linaendelea kuwasumbua.
Mkuu huyo jamaa inaonekana kabisa ni lofa.
 
Boss mimi napata tabu moja tuu katika hii issue. Ni kwa namna gani grace alifanikiwa kutoroka. Ukizingatia ambush ilipigwa saa 4 usiku muda ambao most likely grace alitakiwa kuwa palace.
Jeshi ndio lilimpa permit ya kuelekea Namibia ubalozini akatulie
 
Kuna mengi ya kujifunza kwa hizi picha. Saa nyingine watawala wanatawala kweli kwa mkono wa chuma mpaka atakapotokea mmoja wa kutuokoa. Mpaka wazungu wanasherehekea. Hongera Jeshi kwa kupindua nchi bila umwagaji damu na kumuhifadhi mzee wetu salama bila kumdhuru.
 

Attachments

  • IMG-20171118-WA0002.jpg
    IMG-20171118-WA0002.jpg
    40.7 KB · Views: 61
  • IMG-20171118-WA0003.jpg
    IMG-20171118-WA0003.jpg
    86.1 KB · Views: 57
  • IMG-20171118-WA0004.jpg
    IMG-20171118-WA0004.jpg
    79.6 KB · Views: 57
  • IMG-20171118-WA0005.jpg
    IMG-20171118-WA0005.jpg
    19.1 KB · Views: 55
  • IMG-20171118-WA0006.jpg
    IMG-20171118-WA0006.jpg
    32.7 KB · Views: 59
  • IMG-20171118-WA0007.jpg
    IMG-20171118-WA0007.jpg
    103 KB · Views: 59
  • IMG-20171118-WA0008.jpg
    IMG-20171118-WA0008.jpg
    108.8 KB · Views: 58
  • IMG-20171118-WA0009.jpg
    IMG-20171118-WA0009.jpg
    98.9 KB · Views: 56
  • IMG-20171118-WA0010.jpg
    IMG-20171118-WA0010.jpg
    91.8 KB · Views: 55
  • IMG-20171118-WA0011.jpg
    IMG-20171118-WA0011.jpg
    101.1 KB · Views: 56
  • IMG-20171118-WA0012.jpg
    IMG-20171118-WA0012.jpg
    101.7 KB · Views: 59
  • IMG-20171118-WA0013.jpg
    IMG-20171118-WA0013.jpg
    96 KB · Views: 56
  • IMG-20171118-WA0014.jpg
    IMG-20171118-WA0014.jpg
    105.8 KB · Views: 57
Kuna mengi ya kujifunza kwa hizi picha. Saa nyingine watawala wanatawala kweli kwa mkono wa chuma mpaka atakapotokea mmoja wa kutuokoa. Mpaka wazungu wanasherehekea. Hongera Jeshi kwa kupindua nchi bila umwagaji damu na kumuhifadhi mzee wetu salama bila kumdhuru.
Aisee walikuwa wamemchoka kama dodoki lilooza
 
Akiba Mu ....... wamechokwa Afrika
Muamari Gaddafi
Mubarrack
Mugabe
Museveni

Naogopa isije hamia kwenye majina ya Ma......
Ma........ri
Ma......
Ngoja niache hapo
 
Ha ha ha! Leadership is not sexually transmitted! They've made my day. Ulevi wa madaraka ni kitu cha kishenzi sana; mlevi anaweza kufanya au kutamka lolote as long as he has power. Kutukana wengine hadharani, kebehi, n.k. ni jambo la kawaida sana kwa walevi wa madaraka iwe kwa mtu mmoja mmoja au kwa kikundi kwa umoja wao.
 
Chama tawala nchini Zimbabwe ZANU-PF kimemtaka Rais Robert Mugabe ajiuzulu. Matawi ya chama hicho katika majimbo yote10 yalikutana jana na yamemtaka Mugabe na mkewe Grace, ambaye azma yake ya kutaka kurithi madaraka kutoka kwa mumewe imechochea mzozo wa kisiasa, kujiuzulu kutoka kwenye chama hicho. ZANU PF kimeitisha maandamano Jumamosi mjini Harare.

Source DW

MAONI YANGU.
Hapo inatuonyesha wazi ni namna gani jeshi la Zimbabwe limekomaa ktk mipango yake... Ninaamini, kama akikataa kujiuzuru basi jeshi litakishawishi tena chama kumnyang'anya kadi na huo ndio utakuwa mwisho wa mwisho wa Mugabe. Jiondokee tu mzee ukalee vitukuu Jeshi, Chama, Wananchi wameshakuchoka, utapata uungwaji mkono toka wapi?
Hana hata mjukuu ana watoto wa kugongewa tu
 
Au huo ndio intellegence beyond your borders, ni kawaida watu kuwa na taarifa nyingi za nchi nyingine kuliko nchi yako

Hapana, kawaida ni kwamba unakuwa unaifahamu vema nchi yako halafu inakuwa rahisi kuoanisha taarifa za nchi yako na zile zinazokuzunguka, kwa maslahi ya nchi yako.

Kwa sasa hivi nchi zote zinazotuzunguka tunaamini tunazielewa vema kuliko wao wanavyotuelewa na wao wanayo imani wanatuelewa sisi kuliko tunavyowalewa wao.

Mfano kama nchi zote zinapitisha mizigo yao bandarini Dar basi tunaelewa kinachoingia nchi zao, na hata wakiingiza kupitia njia za panya tutafahamu tu.

Tunaendelea kumshukuru sana hayati Mwalimu Nyerere kwa kuamua lugha ya Kiswahili iwe lugha ya taifa na baadae kusambaa hadi kwenye miji kama Bujumbura, Kinshasa, Kigali, Kampala na Nairobi na zaidi ya hapo..
 
Wangemuacha amalize muhula wake ili astaafu kwa heshima Na akabidhi madaraka kwa atakayemtangulia iachwe demokrasia ishike mkondo wake and shinikizo la kumtaka ajiuzulu linaweza leta maafa kwa wasiohusika..
 
Askofu alisema Pombe kama Mugabe halafu nyie mnashangilia kuondolewa mwokozi wa wanyonge??? mmhhhh. Watu wake wenyewe hawamtaki nyie basi mchukueni awe gagura wenu.
 
Mamia ya watu wamekusanyaika mjini Harare kushinikiza kujiuzulu kwa kiongozi wa Taifa hilo Rais Robert Mugabe
Waandamanaji hao wanaungwa mkono na jeshi la nchi hiyo na wanachama wa chama tawala cha ZANU-PF

Wakongwe waliopigana vita ya mapinduzi ambao walikuwa wanamuunga mkono Rais Robert Mugabe nao sasa wanasema aondokeView attachment 632783 View attachment 632784

==========================================

Jubilant scenes are unfolding on the streets of Zimbabwe's capital Harare, as protests demanding the resignation of President Robert Mugabe have turned to a celebration of the army's role in ending his grip on power.

BBC correspondents say protesters are hugging soldiers in the crowd and cheering for them.

One man told the BBC the day was "about a new beginning".

The rally is supported by the army and members of the ruling Zanu-PF party.

War veterans - who until last year were loyal to the president - are also saying Mr Mugabe should quit.

A BBC correspondent in Harare says this is a watershed moment and there can be no return to power for Mr Mugabe.

A man arriving at the rally said: "As Zimbabweans, we are saying to our army: Thank you very much for the peaceful intervention.

"And it's time for the masses of Zimbabwe to say: Mugabe must go and must go, like, yesterday. We can't wait to see his back. For us, it's about a new beginning.

"For us, it's about the end of authoritarian rule and we are going to take our Zimbabwe back."

Source: BBC
.....shida ya Africa unaFKI
unatangulia hao wapigania Uhuru sindio walikuwa wanamuunga Mkono jinga kabisa
 
Back
Top Bottom