Kinachoendelea Zimbabwe: Nchi yawekwa chini ya Jeshi, Mugabe kung'olewa?!

Ni kweli ingekuwa fedheha yaani Gen. kukamatwa na vipolisi vyenye silaha kama mikuki! Bull shit kwanza mara nyingi mapinduzi yanapofanyika nchi yoyote polisi huwa lazima wavue uniform zao, maana lazima wakamatwe au kuuwawa.
 
Mamia ya watu wamekusanyaika mjini Harare kushinikiza kujiuzulu kwa kiongozi wa Taifa hilo Rais Robert Mugabe
Waandamanaji hao wanaungwa mkono na jeshi la nchi hiyo na wanachama wa chama tawala cha ZANU-PF

Wakongwe waliopigana vita ya mapinduzi ambao walikuwa wanamuunga mkono Rais Robert Mugabe nao sasa wanasema aondokeView attachment 632783 View attachment 632784

==========================================

Jubilant scenes are unfolding on the streets of Zimbabwe's capital Harare, as protests demanding the resignation of President Robert Mugabe have turned to a celebration of the army's role in ending his grip on power.

BBC correspondents say protesters are hugging soldiers in the crowd and cheering for them.

One man told the BBC the day was "about a new beginning".

The rally is supported by the army and members of the ruling Zanu-PF party.

War veterans - who until last year were loyal to the president - are also saying Mr Mugabe should quit.

A BBC correspondent in Harare says this is a watershed moment and there can be no return to power for Mr Mugabe.

A man arriving at the rally said: "As Zimbabweans, we are saying to our army: Thank you very much for the peaceful intervention.

"And it's time for the masses of Zimbabwe to say: Mugabe must go and must go, like, yesterday. We can't wait to see his back. For us, it's about a new beginning.

"For us, it's about the end of authoritarian rule and we are going to take our Zimbabwe back."

Source: BBC
Kichwa cha habari maelfu, ndani mamia
 
Kuna uzi ntaushusha hivi karibuni nikidadisi kama kweli huyu mama hakuwa jasusi hatari kabisa kuwahi kutokea Afrika.

Alikuwa na kazi maalum au "special mission" ambayo endapo Mugabe ataondoka basi mission itakuwa accomplished.

Grace Mugabe alizaliwa Afrika Kusini na akahamia Zimbabwe akiwa na miaka 14.
kama kawaida yetu wabongo! yaani lazima tutafute tu namna ya ku complicate mambo
 
Kwanza litoke ili dubwashika linaloitwa CCM, ,MAMBO mengine yatafuatia, ,,,,
Hayo mambo mengine ni yapi? maana yanaweza kuwa ni mambo mengine ya ajabu kuliko ya ccm,ndiyo maana nimetoa mfano wa Libya nao inaonekana walikuwa na mawazo ya kumtoa Gadafi tu na mambo mengine baadaye.
 
Hata Libya kwa shinikizo na propaganda za wazungu walisema hivyo hivyo. sasa hivi wako wapi? kubaka historia ni hatari sana kuliko kubaka mwanamke
Acheni kuwasingizia wazungu kila siku ili CCM ibaki madarakani, mtu anataka kuonga nchi bado unamtetea???!!!!!
 
Kuna uzi ntaushusha hivi karibuni (nikidadisi kama kweli huyu mama hakuwa jasusi hatari kabisa kuwahi kutokea Afrika.

Alikuwa na kazi maalum au "special mission" ambayo endapo Mugabe ataondoka basi mission itakuwa accomplished)

Grace Mugabe alizaliwa Afrika Kusini na akahamia Zimbabwe akiwa na miaka 14.
hapo kwenye mabano
 
Hizi complications nd zinafanya akili ikae sawa, sasa wewe usiependa complications soma zen tulia.
sawa nasoma zen natulia,, lakini "kutafiti" kwamba inawezekana grace mugabe ni "jasusi" la "hatari zaidi" kuwahi kutokea afrika ni ku complicate mambo!
 
sawa nasoma zen natulia,, lakini "kutafiti" kwamba inawezekana grace mugabe ni "jasusi" la "hatari zaidi" kuwahi kutokea afrika ni ku complicate mambo!

Unaweza ukabisha lakini kwa vinasaba vya wake zetu kuwa wadukuzi mi nashawishika kuamini kwamba alikuwa anatumika
 
sawa nasoma zen natulia,, lakini "kutafiti" kwamba inawezekana grace mugabe ni "jasusi" la "hatari zaidi" kuwahi kutokea afrika ni ku complicate mambo!

basi mkuu nimezima hiyo kitu maana mods nao wamezima mada yangu na wameiunganisha huku.
 
Hayo mambo mengine ni yapi? maana yanaweza kuwa ni mambo mengine ya ajabu kuliko ya ccm,ndiyo maana nimetoa mfano wa Libya nao inaonekana walikuwa na mawazo ya kumtoa Gadafi tu na mambo mengine baadaye.

Libya Gadafi hakuwa mbaya kwa watu wake Mkuu, ,,ni wazungu tu walihamua kumuua
 
  • Thanks
Reactions: bbc
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom