Hii ipo kwenye kitabu gani nikaipitieKwann Mungu haoni??.
Dameski =Damascus=Syria.
Sasa Ukijipa Muda wa kusoma Biblia mambo haya wala hayatakua yakushangaza nikwann yanatokea ...
Mungu mwenyewe amesema haya
Isaya 17:1-----4........ N.b agano la kale.Hii ipo kwenye kitabu gani nikaipitie
Mkuu nipo na kaubize fulani ,ndomaana nachelewa kujibu.ni kweli mkuu, najaribu kuwaza tu, yawezekana kuwa mfalme hakua miongoni mwao waandishi-ndio maana akaanzisha kampeni hyo, lakini kwa kuwa kuna 'kundi la watu' wenye nguvu na hodhi ya mamlaka, ndio maana ikasurvive. Najaribu kuwaza tu. Ni vipi huyu Mungu awe muangamizaji kiasi hiki, na hata yote haya yatokeayo damascus yawe yote ameyatabiri(au kuyapanga kwa lugha nyingine).
Kwaufupi nikwamba hamna jipya chininyajua ,yanayoyokea yameandikwa nahayatobadilika zaidi yakutokea moja baada yajingine.ni kweli mkuu, najaribu kuwaza tu, yawezekana kuwa mfalme hakua miongoni mwao waandishi-ndio maana akaanzisha kampeni hyo, lakini kwa kuwa kuna 'kundi la watu' wenye nguvu na hodhi ya mamlaka, ndio maana ikasurvive. Najaribu kuwaza tu. Ni vipi huyu Mungu awe muangamizaji kiasi hiki, na hata yote haya yatokeayo damascus yawe yote ameyatabiri(au kuyapanga kwa lugha nyingine).
Mkuu ukingali unapumua vizuri hela ya kula unapata wasiwasi na maisha huna ni haki yako kuandika uliyoandika hapa but siku inakuja utatamani uandike japo herufi moja kuyakanusha haya na hutopata chance.heri nusu shari kuliko shari kamili,sikutishi najaribu kukukumbusha kama binadam mwenzangu.Mungu hayupo.
Kama yupo haingilii maisha ya kila siku ya watu. Kwamba baada ya kuumba kanuni za kuongoza Ulimwengu, alijitenga na kuacha Dunia ijiendeshe yenyewe.
Haya mambo mengine ni kupeana moyo tu.
Nimejiuliza hili swali asubuhi ya leo
Tunaambiwa na vitabu vya dini kwamba Mungu ni muweza wa yote,yeye hujua kitu kabla hata hakijatokea
Kauli hii inamaanisha kila kinachotokea huwa kina "approval" ya Mungu
Je Mungu ame "approve" machafuko ya Syria?
Kama haku "approve" kwa nini yametokea?
Mungu haoni kama kuna watoto wanateseka pale,mpaka aombwe?kwa nini anayaacha yaendelee?
Labda wanaosambaza kampeni ya Pray for syria mnaweza jibu maswali haya
Mkuu hata ukinitisha wala sitatishika, utakua unafanya kazi bure, nina uhakika Mungu hayupo na kama yupo basi baada ya kuumba ulimwengu na kanuni zake aliutelekeza ujiendeshe wenyewe, akajitoa kwenye kuingilia maisha ya watu moja kwa moja.Mkuu ukingali unapumua vizuri hela ya kula unapata wasiwasi na maisha huna ni haki yako kuandika uliyoandika hapa but siku inakuja utatamani uandike japo herufi moja kuyakanusha haya na hutopata chance.heri nusu shari kuliko shari kamili,sikutishi najaribu kukukumbusha kama binadam mwenzangu.
Mungu hakujui nini hadi akupe mtihaniHivi walimu hawataki wanafunzi wao wafaulu? Ukinijibu kuwa wanataka wafaulu, basi naomba unambia kwanini wanwapa mitihani wanafunzi na wasiwape vyeti tu?
Tatizo hao hao wanao pinga ugaidi ndio hao hao wanaowawezeshaPhysical realm,ni ya wanadamu,Mungu yupo spiritual realm,hawezi kutenda kitu kwenye physical bila sisi kutaka,au kuamua kumshirikisha,
Tukitaka mazuri yatokee hapa duniani,kwenye ulimwengu unaoonekana,physical realm,lazima tumshirikishe Mungu,bila hivyo hatatenda kitu,
"Without GOD we can not,Without us GOD will not"
Yanayotendeka Syria,Somalia,Yemen,Yana mchango wa binadamu,Tukitegemea miujiza kutoka juu,ije isitishe hayo majanga,tutasubiri sana,those miracles will not come,
Kama kikundi tu kama ISIS,kisicho na serikali kimeutetemesha ulimwengu kwa miaka kadhaa,je nchi za ki Arab zikiungana,zikaunda jeshi,zikakusanya rasilimali,wananchi wote Syria,Yemen,Somalia,wangeepuka majanga yote yanayowapata mpaka sasa hv
Nimeangalia hizi picha roho imeniuma sana hawa watoto masikini hawana kosa lolote cha ajabu watu wanajifanya kutetea sijw upande A au B hivi natamani nimchukue hata mmoja niishi nae. Poleni sana watoto wazuri hamkustahili mateso hayo
Nafsi yangu imenying'onyea sana daaaTatizo hao hao wanao pinga ugaidi ndio hao hao wanaowawezesha
Inasikitisha kwakwelii Sanaaa..Nafsi yangu imenying'onyea sana daaa
Big up broHivi walimu hawataki wanafunzi wao wafaulu? Ukinijibu kuwa wanataka wafaulu, basi naomba unambia kwanini wanwapa mitihani wanafunzi na wasiwape vyeti tu?