Kinachoendelea Syria, Mungu haoni?

Wewe unaandika maandiko mbona sioni uchafu zero brain [emoji12] [emoji12]
Kama kweli nina zero brain, hilo nalo linazidi kuthibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo asingeumba ulimwengu unaoweza kuwa na kiumbe wake ana zero brain.
 
Sina sababu ya kupitia najisi...
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angekuwepo, ulimwengu aliouumba usingekuwa na najisi na wala mtu yeyote asingeona chochote najisi.

Wewe kuona kitu ni najisi ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.
 
Baada ya hio miaka elfu moja ni kitafuata???
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angekuwepo, ulimwengu aliouumba usingekuwa na najisi na wala mtu yeyote asingeona chochote najisi.

Wewe kuona kitu ni najisi ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.
IMEMPENDEZA Mwenyewe anae jua Mema na mabaya ktk Uumbaji wake! wewe unahoji ni Mwenyewe??¿ mbona wewe unavaa kata k, sababu imekupendeza! Sina Haki ya kuhoji sababu Mimi sio wewe!¡
 
real bullshit how could Assad gas is own peoples mean times he has won the mostly ferociously war in' Eastern Ghouta?

The beating the war drums & blaming Assad, Russia Iran & Hezbollah's without any evidence. Did you all remember Iraq war? These are the same people that said Saddam Hussein had weapons of mass destructions. & then more than 250,000 people have died but there were no Weapons of mass destructions in Iraq. & the first Iraq War was also sold to the public based on the pack of lies in 1990
Both Bush(father and son) are dumb...criminals
 
Unakufuru bro
Kama kuna Mungu na kukufuru, kusema mtu anayetumia akili zake (ambazo kama Mungu yupo na kamuumba, amepewa na Mungu) kuweza kumjua kwa ukweli, bila woga wala kufuata mkumbo huyo Mungu, ni kukufuru, ndiyo kutakuwa kukufuru.

Ushanielewa?

Wewe unayesema mimi nakufuru ndiye utakuwa unakufuru.

Kwamba, tuseme Mungu yupo.

Tuseme yeye kaniumba mimi, na kanipa akili.

Halafu mimi na akili nilizopewa na huyo Mungu, sijaelewa uwepo wake.

Natumia akili alizonipa, nimuelewe mwenyewe, bila kufuata mkumbo wala woga.

Wewe ukisema mimi nakufuru, ndiye utakuwa unakufuru.

Kwa sababu, utakuwa unasema kwamba, kiumbe aliyeumbwa na Mungu hana akili za kuweza kuhoji uwepo wa Mungu bila woga wala kufuata mkumbo mpaka akaelewa Mungu yupo, na akitaka kufanya hivyo atakuwa anakufuru.

Utakuwa umemtukana huyo Mungu kwamba hawezi kuumba kiumbe kilicho na akili kubwa ya kuhoji vitu.

Utakuwa umemtukana huyo Mungu kwamba anaumba watu wanaofuata fuata mambo bila kuhoji kama mashine tu. Watu wasio na uthubutu kutakakuelewa vitu bila woga.

Wewe ndiye utakuwa unakufuru, si mimi.
 
Let them cry their own cry and u cry ur own cry. U have Alshaabab.

By the way as far as I understand katika ulimwengu wa rohoni vita maana yake ni laana.Ukiona mahali kuna vita basi ujue Mungu ameachia laana yake mahali hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…