Biblia Takatifu tunayo Mkononi Imekamilika na Mwandishi wa kwanza wa Biblia Takatifu ni Mungu Mwenyewe [emoji117] View attachment 726342[emoji123] [emoji106] wewe unaedai imechakakachuliwa lazima ujibu haya [emoji117] View attachment 726341 kama huna majibu jidunge ndoba usepe [emoji4]
Pope -Leo wa10 tumeona sasa ona na hii personal profile ya mtume wako
Pope -Leo wa10 tumeona sasa ona na hii personal profile ya mtume wako
View attachment 728808
Pope -Leo wa10 tumeona sasa ona na hii personal profile ya mtume wako
View attachment 728808
wee vipi [emoji15] kuweka profile ya Pope Leo wa 10 kwako haiumi ilaha kuweka Profile ya kigezo chako chema inakuumiza [emoji15] [emoji46] [emoji38] kuki kwa nguruwe eeh [emoji15] [emoji4]UNAITAFUTA BAN KWA KUSHINDWA HOJA LAKINI HATA SIKURIPOTI MPAKA UELIMIKE
wee vipi [emoji15] kuweka profile ya Pope Leo wa 10 kwako haiumi ilaha kuweka Profile ya kigezo chako chema inakuumiza [emoji15] [emoji46] [emoji38] kuki kwa nguruwe eeh [emoji15] [emoji4]
unaona ulicho post hapo juu [emoji15] [emoji46] sasa nikikuwekea alkaba ya makafir wa kikureshi waliokuwa wakitufu mduara uchi unanuna..[emoji38] [emoji38] ngoja nirudi ibada...kumbe ngozi yako lainiii [emoji4]
wee vipi [emoji15] kuweka profile ya Pope Leo wa 10 kwako haiumi ilaha kuweka Profile ya kigezo chako chema inakuumiza [emoji15] [emoji46] [emoji38] kuki kwa nguruwe eeh [emoji15] [emoji4]
unaona ulicho post hapo juu [emoji15] [emoji46] sasa nikikuwekea alkaba ya makafir wa kikureshi waliokuwa wakitufu mduara uchi unanuna..[emoji38] [emoji38] ngoja nirudi ibada...kumbe ngozi yako lainiii [emoji4]
Kislakisla umepatia karbu italia nyau ñyau.,.Ukweli wa Pasaka kama alivyofundisha Mungu
Kwa mujibu wa mafundisho ya Biblia, Pasaka ni mnyama ambaye wana wa Israeli waliamrishwa na Mungu wamchinje na wamle kwa kufuata utaratibu aliouelekeza Mungu na kwa lengo maalum. Maandiko yafuatayo yanathibitisha ukweli huu:
"Hapo ndipo Musa aliwaita wa Israeli, na kuwaambia, Nendeni, mkajitwalie wana kondoo kama jamaa zenu zilivyo, mkamchinje Pasaka". (Kutoka 12:21),
"Nawe umchinjie Pasaka BWANA, Mungu wako, katika kundi la kondoo na la ng'ombe, mahali atakapochagua BWANA apakalishe jina lake". (Kumbukumbu la Torati 16:2),
"Usimchinje Pasaka ndani ya malango yako yote akupayo BWANA, Mungu wako, ila mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, ndipo mtakapomchinja Pasaka jioni, katika machweo ya jua, kwa wakati kama uliotoka Misri". (Kumbukumbu la Torati 16:5-6).
Kulingana na maandiko hayo juu, tunaona hapa Biblia inafundisha wazi kuwa Pasaka ni kondoo au ng'ombe ambaye Mungu aliwaamuru wana wa Israeli wamchinje kisha wamle.
Aidha, maandiko hayo yanaonyesha wazi pia kuwa amri hiyo (ya kuchinja na kumla Pasaka) haikuwahusu watu wa mataifa mengine isipokuwa Waisraeli peke yao.
gavana uko wapi hau [emoji350] [emoji350] [emoji4]Kislakisla umepatia karbu italia nyau ñyau.,.
Kila chaka mkojo inauma [emoji38] [emoji38] ngoja aje gavana Akupe daawa [emoji4]Hakuna aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo.
Hujathibitisha Mungu yupo.Kila chaka mkojo inauma [emoji38] [emoji38] ngoja aje gavana Akupe daawa [emoji4]
wewe umethibitisha Mungu Hayupo? Mimi kila siku namuona Mungu, wewe kama humuoni kivyako dogo na inawezekana una ulemavu!Hujathibitisha Mungu yupo.
Kila chaka la kuficha ujinga nafyeka.
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote ambaye kaumba ulimwengu ambao watu wanakufa vibaya kama Syria, wakiwemo watoto wadogo, na wengine wanafukiwa na vifusi mpaka wanakufa katika matetemeko ya ardhi, hayupo.wewe umethibitisha Mungu Hayupo? Mimi kila siku namuona Mungu, wewe kama humuoni kivyako dogo na inawezekana una ulemavu!
Unaweza kuthibitisha haya yalitokea na si hadithi tu?Mungu wakati anamuumba adam malaika walikuja juu sana na kumuuliza.
JE UNAUMBA VIUMBE WENGINE WATAOMWAGA DAMU NA KUFANYA MATENDO YASIOPENDEZA???
Mungu akawajibu
MIMI NAJUA NYIE MSIOYAJUA!!
Malaika wakajibu kwa unyenyekevu UTUKUFU NI WAKO WEWE UNAEJUA YA DHAHIRI NA YA GHAYBU
Hiyo uliyo weka ni pumba kabsa ...nilikujibu [emoji15] wewe unahoji kama nani? Yeye kafanya Yanayo Mpendeza... Kama una ubavu umba wa kwako afu ufanye utakavyo [emoji12]Mungu muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote ambaye kaumba ulimwengu ambao watu wanakufa vibaya kama Syria, wakiwemo watoto wadogo, na wengine wanafukiwa na vifusi mpaka wanakufa katika matetemeko ya ardhi, hayupo.
Kwa sababu ulimwengu tunaouona unam contradict.
Baba wa mtu tu akijenga nyumba na kuitegeshea mabomu yalipuke, watoto wake wapate hatari ya kuweza kufa, tutamshitaki au kumpima akili kama mwendawazimu.
Sasa kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote nabuoendo wote afanye hivyo hivyo kwa mara mabilioni zaidi kwa kuumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na kila aina ya mabaya, wakatibaliweza kuumba ulimwengu ambao baya lolote haliwezekani kutokea?
Hujajibu swali hili.
Kwa sababu huwezi kujibu.
Kwa sababu huna jibu.
Kwa sababu Mungu huyu hayupo.
ni hadithi tu ya kuungwa ungwa.