Nilichokiona ni ku buy time,hayo maamuzi ndani ya bunge wapoteze muda na hamna kitakachotokea!Maelezo ya Prof. yalikuwa mengi,taratibu,na yaliyokuwa yana bore kwa kweli.What he did can be done later after addressing issues which has put the whole nation at stake!Ndiyo tofauti kati yetu na wenzetu!Mambo ya Msingi ya Taifa letu yapewe kipaumbele!Lets change this attitude ya kuwaona watz ni walewale cku zote!