Ukombozi Sasa
Member
- Nov 5, 2010
- 17
- 10
Wajameni kitu gani kinaendelea bungeni kwa sasa! Wabunge wenye twitter accounts tafadhali tujuzeni kwa maana huku nje hatupati habari yeyote ya humo mjengoni. Je hili linaweza kuwa limepagwa haraka haraka ili kuzuia watz wasijue kinachoendelea kuhusu hitimisho la Escrow. Kwani sasa Professor anatupatia hotuba kuhusu ugonjwa wake...kwa kweli tupo kwenye giza la habari kwa ghafla kuhusu yanayoendelea Bungeni
This is not right, Watanzania wanataka kusikia na kuona kinachoendelea Bungeni kwa sasa!
This is not right, Watanzania wanataka kusikia na kuona kinachoendelea Bungeni kwa sasa!