Kinachoendelea mto Kawe muda huu ni cheni ndefu ya kutisha

Kinachoendelea mto Kawe muda huu ni cheni ndefu ya kutisha

WANANCHI WOOOTE LEOO WAMESHUKA MTO KAWE KUMLALAMIKIA DIWANI MUTA KWA UPUUZI UNAOENDELEAAA

YALIOONGELEWA KWA KWELI N KWAMBA VILE VIJIKO KULE.MTONI N VYA WATU WANENEE TOFAUTI NA TULIVYOFIKIRIAA

MPAKAA USIKU HUU WA MANANE WALE WA TV MNAWEZA KUJA KUANGALIA NJIA YA KUINGIA MTO KAWE MWISHO WA UKUTA WA HON MBOMA ALIEKUWA MKUU WAMAJESHI KUMEJAA MALORI KUANZIA CHINI MPAKA JUU

TRA WANAJUA KINACHOENDELEA MANISPAA WANAJUA KINACHOENDELEA NA HIVI SASA MAGARI MANNE YA WANENE WAKIONGOZWA NA KIJANA MMOJA AMESHUKA KUJA KUPOKEA PESA ZAO ZA MCHANGA HUKU WAKIHESABIWA IDADI YA MALORI NA VIJANA WAWILI WANAOLIPWA ALF HAMSINI KWA SIKU KILA MMOJA

HAKIKAAA KINACHOENDEELEA NAWAZA MARAMBILI NANI YULO NYUMA YA PAZIA ??MNATIA AIBUU KABISAAA KANA KWAMBA HAKUNA KIONGOZI KWENYE MANISPAA HII

KWELII WAHUNI WANAKUJA KUKUSANYA PRSA ZA MCHANGA NA KUPELEKA VIJIKO VYAO UNAHISI WAKO WENYEWE N CHENI NDEFU KUBWAA

HIVISASA MALORI YAMEJAA KULIA NA KUSHOTO USIKUHUU YAKISUBIRIA KUBEBA MCHANGAAA INANIKUMBUSHA MAISHA YA BURUNDI INASIKITISHA SANA

LAMI NZIMA KWA WENYE TV MNAWEZA KUJA ONA WENYEWE LAMI YA TANKIBOVU KUFIKA MWISHO WA UKUTA WA MBOMA ZIMEANZA KUDIDIMIA NA NYINGINE KUBOMOKA KABISA SIJUI NANII ANAKUJA JENGA
Kwa taarifa yako, Serikali imeshaona kuwa kuna sera ambazo zinaitesa yenyewe.
NEMC wanataka mchanga usiondolewe mtoni.
Kwa karibu miaka minne mchanga umerundikana.
Matokeo yake maji yanapita juu ya daraja kutokana na kina kupungua.
Mifano halisi mto Mbezi, pale kwa Malecela, mto Miji kukata kingo hadi barabara kufungwa.

Wananchi muelewe hilo, mchanga lazima utolewe.
 
habari ya kimehemko...

kinachofanyika hapo ni kutoa mchanga mtoni ili kuongeza kina cha mto ili mto usitapike maji mtaani..

sasa ww ndugu yangu hata hujauliza kinachofanyika hapo unaleta habari za kimihemko...

kuhusu malori kufanya kazi usiku ni kwa sababu mchana yataongeza folen barabarani

IF U DIDNT KNOW NOW U KNOW
 
ingekuwa heri kama wanaotoa huo mchanga wangetengeneza na miundombinu inayoharibiwa na hayo malori, mwaka juzi na jjana eneo la mto mpiji unaotenganisha dar na bagamoyo kulikuwa na idadi kubwa sana ya malori yakisomba mchanga na walikuwa wanalipa kila trip,nemc wamekuja kukataza eneo hilo (mingoi hadi kimele) limebaki bila barabara ya kueleweka na pesa haijulikani ilipelekwa wapi
 
Umekurupuka aisee....kwanza mchanga huo kuchimbwa unaongeza kina na kuzuia maguriko ...by da way huo mchanga sio mali coz haufai kwa ujenzi...
 
Mbunge wa huko anasemaje kuhusu suala hili?
 
Back
Top Bottom