kijana mgumu
Member
- Jan 26, 2013
- 48
- 15
- Thread starter
- #21
assistant investigators (180 posts).
nitake radhi mi mke wa mtuJifunze kupitia jukwaa hili mara kwa mara kama watuma sana maombi ya Kazi kupata updates za kutosha, ila kama washinda MMU utaambulia kupata boyfriend
Watu nyomi kama kawaida. Kila m1 anajaribu bahati yake ila ifahamike kuwa huu ni usaili wa kwanza na bado kuna oral. Watakaoishia kwenye awamu hii wasikate tamaa maana maisha bado yanaendelea. Wapo watakaofaulu kwenda usaili wa ana kwa ana (oral) lkn wasibahatike kuajiriwa. Hongera ziende kwa wote watakaopata nafasi ya kuajiriwa.
nitake radhi mi mke wa mtu
Nimewapenda sana PCCB na shart kama taasisi zote zingekuwa kama hii haki ingetawala nchi hii,nimeshafanya interview nyingi sana nikagundua kwamba michakato yake huwa inatawaliwa na kutokuwa na uwazi,rushwa,upendeleo wa wazi,pamoja na mambo mengne meng ambayo hayafai,hawa jamaa kwa dalili nizionazo wamejaribu kujipambanua kuonesha tu uwazi!,mfano swala walilotangaza kwamba majibu watatoa wiki ijayo tena kwenye website yao na sio mahali pengne popote imenifanya nione tofaut ya wao na mahali pengne,kwakuwa mara nying kwa sehemu nying interview ikifanyika ukiulza majibu lin wanakwambia 'nenda utapigiwa simu',sasa jibu kama hili lina dalili ya kutokuwa na uwazi,na ukishaona hv ujue nyuma ya pazia kuna mengi
aaaa wapiiiiiiiiiiiiii!Nahofia unaweza nasa kwa mzabzab