Kinachoendelea interview ya pccb ndani ya sabasaba.

Kinachoendelea interview ya pccb ndani ya sabasaba.

kijana mgumu

Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
48
Reaction score
15
Watu nyomi kama kawaida. Kila m1 anajaribu bahati yake ila ifahamike kuwa huu ni usaili wa kwanza na bado kuna oral. Watakaoishia kwenye awamu hii wasikate tamaa maana maisha bado yanaendelea. Wapo watakaofaulu kwenda usaili wa ana kwa ana (oral) lkn wasibahatike kuajiriwa. Hongera ziende kwa wote watakaopata nafasi ya kuajiriwa.
 
Jaman Kwan majina yametoka ya interview????nijibu now niangalie n me nikimbie hapo.
 
Waliitwa kwenye gazeti gani?

Jifunze kupitia jukwaa hili mara kwa mara kama watuma sana maombi ya Kazi kupata updates za kutosha, ila kama washinda MMU utaambulia kupata boyfriend
 
Back
Top Bottom