Kwani hawapo?Hawa jamaa wabinafsi sana walishafanya hivyo this is second time Wachina hawa waliojazana hapa dar wangekuwa south africa mochwari zingejaaa nawaza tu
Baba wa Taifa mwalimu Nyerere alisema ukianza kula nyama ya mtu hutaacha(ukianza ubaguzi hutaacha)utasema hawa ni wabara na hawa ni wazanzibari,hawa ni watanzania na hawa ni wamsumbiji na hawa ni wasouth Mungu atuepushie mbaliWalizoea kubaguliwa na wenyewe wameanza kubagu wenzao.cha ajabu awabagui wazungu. Waafrika tumelaaniwa
Hata serikali ingeweza kuweka mikakati za kuzuia madhara kams haya yasitokee ama kujirudia kwa kuweka sheria kali dhidi ya hawa vijana wanaodhuru wenzao. Maendeleo hayafikiwi kwa akili za wenyeji tu. Mgeni huleta mbinu mbadala ya ufumbuzi wa matatizo. Ndugu zetu hawa wanahitaji waelimishwe.Upo sahihi kabisa hii mijamaa aijui chochote Kuhusu historia na ni mkaburu alifanya hivo makusudi ili wasijanjaruke aendelee kuwaburuza
Kwahiyo kubanguliwa ni kitu gani kwa mfanoWabanguzi wanabanguana[emoji2] [emoji3] [emoji2]
Nakushaur kamuulize trumpKwahiyo kubanguliwa ni kitu gani kwa mfano