above all we are good friends ,huwa hatupishani interest hata siku moja.huko kwenye dstv premium package ndo ugovi unakoanzia......
Kuna mipira 24 hrs, channels kibao..... Sasa mimi african magic naangalia saa ngapi?
Na yeye african magic haipandi basi mnaamua kununua dual deck kila mtu anachagua kona yake na kuangalia anachotaka..... Hapo mtakuwa mna interest sawa?
Labda horsepower anisaidie hapa
huyo ana lake jambo tu na huyo mkewe
sisi wengine interest haziendani kabisaaaaaaa
home mpaka tumegawana TV.... yeye mpira muda wote, mimi haupandi kabisaaaaaa, nipo zangu na isidingo.....
lakini mapenzi motomoto.......
nakubaliana na wewe interests ndio muhimu...ata wazazi wanakoseaga hapo. mama akikuchagulia mke ata hakikisha kweli ni wife material, anatoka familia nzuiri ana maadili na pia ni mzuri wa kuridhisha kwa muonekano ila wanapokoseaga ni interests zako na huyo mwanamke kama zinaendana...ndio maana wake wakuchanguliwa ndoa hazidumu
Hahahahaha hapa umenimaliza. Unaweza ukachaguliwa wife akwana na interest zote lakini asiwe na mvuto ambao ungeupenda iwapo ingemchagua mwenyewe.
bwana wee sio kwamba atakutafutia ambaye ni the most beautiful kaka...yaani atakuwa average luking unaweza toka nae na kuonekana nae mtaani. wewe wale wazuri wapo 1%, wakawaida 95% na ng'ong'ozo 4%
Aaaaaaaa wapi!THEY ARE ALL THE SAME REGDLESS THEIR ACTS OF TRICKING YOU THEY ARE DIFFERENT!
:nono:
Sheria ukiingia mnadani ni moja tu!!!!!!!!!! Ng'ombe ni ng'ombe hata akiitwa Beef ribs, beef sausage, steak, bacon, tendons, ni ngo'mbe tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
UKICHAGUA NYAMA CHAGUA ILIYONONA!!!!!!!!!:A S 39:
Hahahahahahahahahaha! Aisee umenichekesha sana. Hata haivyo, hao wazuri sana hawadumu kwenye ndoa!
huko kwenye DSTV premium package ndo ugovi unakoanzia......
kuna mipira 24 hrs, channels kibao..... sasa mimi African magic naangalia saa ngapi?
na yeye African magic haipandi basi mnaamua kununua dual deck kila mtu anachagua kona yake na kuangalia anachotaka..... hapo mtakuwa mna interest sawa?
labda HorsePower anisaidie hapa
True love? labda mimi sijui maana ya tue love, lol!Hata huku kugawana TV nako ni shida unayoipata kwenye ndoa yako. Unaonaje kama ungekaa nae karibu wakati unaangalia tamthilia? Au ukienda kwa rafiki yako ukakuta yeye na mmewe wametulia sebuleni wanatazana Zone reality, au Discover World, au Hata kama ni Mpira! That is the moment of discovering true love my dear!
exactly!Ni kweli hapa mnakuwa na interest sawa za kuangalia DSTV, lakini mnatofautiana kwenye kuangalia channels! Kwa ujumla mnakuwa hamna interest zinazofanana!!!
Haya bwana ila unanifurahisha sana Wiyelele!:smile-big::smile-big:Unajua raha ya air conditioner ni kwamba ikizidi unajifunika na blanket, je raha ya joto huwezi kujifunika tena! Anyway Lisa, ndo maana hapa mdomo ulikuwa zege, ilinibidi ninyamaze tu!
huyo ana lake jambo tu na huyo mkewe
sisi wengine interest haziendani kabisaaaaaaa
home mpaka tumegawana TV.... yeye mpira muda wote, mimi haupandi kabisaaaaaa, nipo zangu na isidingo.....
lakini mapenzi motomoto.......
hahahaahahahaa kipenzi kawida tu ukiona kakomaa kuangalia hichi wewe unachuku ipad unakula jf bila bughudha.watu wamekariri eti kwenda club,beach ngwasuma,bar sehemu za starehe ,casino eti ndio mapeenziii nononono buni new staili y maisha ,Homee sweet homeeNivea nakutamaniaje????
yeye anasema eti inabidi muwe mnaangalia pamoja huo mpira na ikifika muda wa akina kanumba pia mpo wote, lol!Hata mimi tulishagawana muda mreefu kabisa, mimi soka mamaJ Movies tena za kibongo wapi na wapi. Ila la outing tumemachi kama makinda ya ndege.