Wana JF,
Chukulia kama mke/mme anaimba kwaya na mmojapo kanisani ni kituo cha Polisi, ataona faida gani ya kuwa nawe karibu? Sasa tusikumbuke haya pale ambapo maji yamemwagika, wengine tuliochemka tuzidi kuvumilia haya maji ya moto la sivyo labda ni kujitafutia ka air conditioner kakupoza kidogo! ....
Hivyo sio vizuri kuangalia material tu maana hayatakuwa na maana kama interests zenu zina differ! Mwezenu juzi ndo nimemuona ambaye kweli angekuwa suitor wangu kiukweli. Ana interest zangu zoooote! Sasa imenibidi mdomo uwe zege, nikaishia kujing'ata na kumeza mate!
Asalaam aleikum.
huyo ana lake jambo tu na huyo mkeweNilitaka kukusifu kuwa leo umeleta points bila manung'uniko kabla ya kusoma sentensi yako ya mwisho.
mi nilidhani peke yangu, lol!kama uwezekana wa kumpata mwenye interest sawa na zako hilo jambo zuri. Lakini uzoefu unaonyesha walio wengi huangukia kwenye mahusiano ambayo baadhi tu ya interest ndo hufanana. Mara nyingi interest za kawaida huwa zinafundishika kama wapenzi wenyewe wanajua kuchukuliana, kuvumiliana, kusaidia na pia wanapendana kwa dhati.
Mara ngapi tunawasindikiza walevi bar wakati sisi si walevi? Au mara ngapi tunawasikiza watu kuangalia mpira wakati sisi wapenzi wa mpira? Au mara ngapi tunaenda movie just kumsindikiza rafiki au mpenzi? Mara ngapi twaenda beach au kuogela just kumsindikiza fulani? Huo si utofauti wa interest?
Na niulize swali la kizushi, vipi kwa wale walioona ambao interest zao ziko tofauti wafanyaje? Au wale wenye BF/GF wanaokumbwa na kadhia hii nao wafanyaje? Wamwagane? Au tuseme hawatudumu kwenye ndoa huko baadaye?
Nafikiria kikubwa zaidi cha kuangalia ili kudumisha mapenzi ni uaminifu, kusaidiana, kuheshimiana, kupendana, kushirikiana, kushirikishana na mengineyo yote ambayo tumekuwa tukiyajadili humu mara kwa mara yenye melngo wa namna hii.
mi nilidhani peke yangu, lol!
now days uko bizeee sioni makarabashikarbashi yako aisee .hujambo lakiniaaaaaaaa wapi!they are all the same regdless their acts of tricking you they are different!
:nono:
Sheria ukiingia mnadani ni moja tu!!!!!!!!!! Ng'ombe ni ng'ombe hata akiitwa beef ribs, beef sausage, steak, bacon, tendons, ni ngo'mbe tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ukichagua nyama chagua iliyonona!!!!!!!!!:a s 39:
ni bora mimi nilikutana na mwenye hobi kama zangu hakuna cha bar,beach,kuenjoy sijui ngwsuma,what ever -sisi kama uko idle ni kwenda nyumbani nakulala sisi ni home -job then home sisi tunatokea kwenda kusali tu baaas tofauti na hapo ni home sweet homekama uwezekano wa kumpata mwenye interest sawa na zako hilo jambo zuri. Lakini uzoefu unaonyesha walio wengi huangukia kwenye mahusiano ambayo baadhi tu ya interest ndo hufanana. Mara nyingi interest za kawaida huwa zinafundishika kama wapenzi wenyewe wanajua kuchukuliana, kuvumiliana, kusaidia na pia wanapendana kwa dhati.
Mara ngapi tunawasindikiza walevi bar wakati sisi si walevi? Au mara ngapi tunawasindikiza watu kuangalia mpira wakati sisi si wapenzi wa mpira? Au mara ngapi tunaenda movie just kumsindikiza rafiki au mpenzi? Mara ngapi twaenda beach au kuogela just kumsindikiza fulani? Huo si utofauti wa interest?
Na niulize swali la kizushi, vipi kwa wale walioona ambao interest zao ziko tofauti wafanyaje? Au wale wenye bf/gf wanaokumbwa na kadhia hii nao wafanyaje? Wamwagane? Au tuseme hawatudumu kwenye ndoa huko baadaye?
Nafikiria kikubwa zaidi cha kuangalia ili kudumisha mapenzi ni uaminifu, kusaidiana, kuheshimiana, kupendana, kushirikiana, kushirikishana na mengineyo yote ambayo tumekuwa tukiyajadili humu mara kwa mara yenye melngo wa namna hii.
ha haaa, ila kumsindikiza kuangalia mpira aiseee patachimbika, lol!Tuko wengi aisee, kama mtu kakuomba vizuri umsindikize, tatizo ni nini? Unamsindikiza wakati yeye anaenjoy na mambo yake na wewe unafungua tablet yako una surf JF!!!!
home sweet home mnaangalia wote isidingo.... mpira.... ze komedi.....?ni bora mimi nilikutana na mwenye hobi kama zangu hakuna cha bar,beach,kuenjoy sijui ngwsuma,what ever -sisi kama uko idle ni kwenda nyumbani nakulala sisi ni home -job then home sisi tunatokea kwenda kusali tu baaas tofauti na hapo ni home sweet home
kuna mambo mazuri kwenye DSTV PREMIUM PACKAGE.hahahah FP hata kama hatuko wote ishazoeleka after work go home.mara nyingine unaangalia tulivyochuma japo nilikuwa mzururaji mjini nimejikuta baasi nikienda kkoo ni shopping ya chakula then home .home sweet homehome sweet home mnaangalia wote isidingo.... mpira.... ze komedi.....?
huko kwenye DSTV premium package ndo ugovi unakoanzia......kuna mambo mazuri kwenye DSTV PREMIUM PACKAGE.hahahah FP hata kama hatuko wote ishazoeleka after work go home.mara nyingine unaangalia tulivyochuma japo nilikuwa mzururaji mjini nimejikuta baasi nikienda kkoo ni shopping ya chakula then home .home sweet home
Hahaahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! !!!!!!! kama kawaida yako Wiyelele, Loh! umenifurahisha sana maana bado unamtafakari mkeo tuuuuu, mm nimeshakwambia mkae chini mweleze unachotaka na kuoenda na muombe akufanyie, kuliko unavyoumia kila siku, itakupelekea kufanya mambo mabaya .Kama hapo kwenye hako ka air conditioner kanaweza kakakupooza kila kitu shauri lako.