Kinachoboa Mwanza

Mmhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro Cosmo nalala hapo kwa 35k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbeya, Iringa, Moro, Rukwa, Njombe wanawake hawajui kupika wanajua kujaza nyanya na mafuta kwenye mboga
 
Uzuri wa Watu wa Mwanza kwanza tumejaliwa Ukarimu sana na Upendo mkubwa na hatuna tabia ya kujibana bana Chakula yaani Ucnoyo na kwa sababu kuna samaki ni Mkoa unaoongoza kwa watu wenye uwezo mkubwa wa akili(IQ)

Nikwambie pujo sisi tunapenda mboga za majani tunatumia na samaki wa kukaanga au mchemso(kitu cha asili tena ni muhimu asili hamna mafuta). Kama kuna Mtu anabisha niliuoyasema basi anaruhisiwa kunipinga kwa mifano ila ageneralize sio mtu mmoja mmoja.

pujo
 
Mmmmmmmm bila shaka sehemu nyingine si Mbeya.wale wamama wanajua kupika wali yaani acha kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni sana kwa kubarikiwa. Sie wa morogoro na sie tuna yetu ati ahahah
 
Niliwahi kula supu Mwanza ya makongoro ambayo yamekwatwa na mashine. Ilikuwa na ladha nzuri sijapata kuona maishani mwangu
 
Utuache. Wewe kama ulienda kwa shangazi yako wakakulowekea mchicha ukala utulie. Ni hayo tu
 
Ndo unajua leo mkuu? yaani uko mjini utafikiri kijijini hadi watu wa Sumbawanga town wamewashinda..Ukia mjini unafell ile hali ya wakazi kuwa kweli mjini
Miji sampuli ya Mwanza ni sawa na Kahama au Tunduma yaani miji imechangamka kibiashara lakini life style ya watu wake kuanzia kuongea hadi mavazi ni ushamba mtupu..Vilagization mentality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…