Kinachoboa Mwanza

Hehehee na kuliwa mnaliwa vizuri tu na kile kiswahili eti cha dar mwishowe mjing'ate. Huwa mnachekesha sana full ujuaji,tunawachora tu
Hatuna nguvu za kiume lakini tukisema tunatoka daslamu hata kama ni Tandika au Tandale tukija huko mikoani kwenu tunawala hata kama tunapiga kimoja chali
 
Hehehee na kuliwa mnaliwa vizuri tu na kile kiswahili eti cha dar mwishowe mjing'ate. Huwa mnachekesha sana full ujuaji,tunawachora tu
Mwanaume analiwaje? Wengi wao wanaoliwa hua hao wa mikoani wakihamia Dar wanaendeleza tabia zao za kuliwa mfano mashogs wengi wanatokea Arusha wakihamia Dar ndo hao wanaanza kujiita wanaume wa Dar...
 
Uzi wa mwanza na arusha wapi na wapi
Mwanaume analiwaje? Wengi wao wanaoliwa hua hao wa mikoani wakihamia Dar wanaendeleza tabia zao za kuliwa mfano mashogs wengi wanatokea Arusha wakihamia Dar ndo hao wanaanza kujiita wanaume wa Dar...
 
Hapo umebug mkuu. Dar inaongoza kwa mashoga wala usisingizie wa mikoani
Nadhani wewe hadi uje upepo wa kisuli suli tujikute tupo pamoja ndo utaelewa unapigwa kimoja chali lakini hauniachi..hahahaha
 
Hamna cha upepo wala nini wa goli moja mkae huko huko,ndo maana makonda anawapelekesha atakavyo. Jamaa ni ngosha the don product halisi toka koromije
Nadhani wewe hadi uje upepo wa kisuli suli tujikute tupo pamoja ndo utaelewa unapigwa kimoja chali lakini hauniachi..hahahaha
 
Hio njia mna ushahidi au kisa vuvuzela wa marekani aliwaambia? Bado the don ndo boss wenu huko
Ila alishindwa kumzalisha mke wake hadi akatumia njia artificia usisahau hicho kipengele hahahaha
 
Shida ingine ni trafic police,aisee ni kwikwi hasa barabara ya airport kutoka mjini na barabara kutoka mjini kwenda igoma,yaan wanakaba kinyama,mbaya zaidi unakuta wanakaa mafungu mafungu noma sana
 
Nunua DFP yaan wanakua wanakuangalia tu
Shida ingine ni trafic police,aisee ni kwikwi hasa barabara ya airport kutoka mjini na barabara kutoka mjini kwenda igoma,yaan wanakaba kinyama,mbaya zaidi unakuta wanakaa mafungu mafungu noma sana
 
Nikishukaga nyegezi pale...nakuwa nimekwisha book chumba cosmopolitan hotel na kuwaambia wanitengenezee ugali samaki..anakuja samaki huyo kama mkono halafu yupo freshi kama hajawahi kaa kwenye fridge...cha ajabu sasa kwenye bei utashangaa unaambiwa buku 8...chumba buku 20 ambacho Arusha au Dar utaambiwa buku 40...kesho yake nakuwa nimeenda kuchill Tunza beach resort full utulivu..ebhana eeh mwanza napaelewa sana..
 
Tunza beach iko wap mkuuu
 
Jiji la mwanza lina manispaa mbili (nyamagana, ilemela)...jiji la dsm lina manispaa tano...majiji yaliyobakia bongo ni manispaa moja moja..(tunaongelea majiji sio mkoa mzima)
Kwanini iliwekwa hivi, kuna sababu za kiserikal au kiuchumi
 
Hio haiwekwi inatokea kadiri sehemu, halmashauri au wilaya inavyoendelea...mji mdogo, mji, mara paap inakuwa manispaa then jiji..
Kwanini iliwekwa hivi, kuna sababu za kiserikal au kiuchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…