Kinachoboa Mwanza

Wanaume wa dar wakigongewa wake zao wanakodi wanaume wa mikoani kuwasaidia kutatua marinda ya wagoni wao kisha wanaendelea na wake zao daah kuishi dar raha sana
Wanaume wa mikoani pamoja na kua na nguvu za kiume lakini wakigongewa madem zao either wanawauwa wapenzi wao hao na wenyewe wanajinyonga... wanaume wa mikoani dhaifu sana kuhimili mikiki mikiki ya kimapenzi..kwao wanawake ni kitu cha ajabu sana...
 
Wanaume wa dar wakigongewa wake zao wanakodi wanaume wa mikoani kuwasaidia kutatua marinda ya wagoni wao kisha wanaendelea na wake zao daah kuishi dar raha sana
Kikawaida wanaume wa Dar wakigongewa wanawake zao hua wanatafuta wanawake wengine sababu huku kwa asilimia kubwa hatuna njaa na madem, unaingia tu makumbusho, kariakoo, mwenge, tegeta au mawasiliano unang'oa mtoto mkare hataarii kuliko huyo aliezingua...
 
Waswahili bana cjui walirogwa na nani,,,,,,matatizo yenu ya dar mbona hatuyasemi vijana wadogo kunywa mchuzi wa pweza,,,alafu swala la mapishi na aina ya vyakula inategemea na mazingira kadhalika na uhitaji wa watu!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha aiseee unadanganya mchana kweupeeee. Ingekua hivyo shingongo asingeanzisha OFM
 
Unazungumzia ukubwa gani hapa?
 
We naww n wa dar!! Simaanishi kua unatokea geographical area ya dar!!
Namaanisha kua na ww n mwanaume wa dar?
 
We naww n wa dar!! Simaanishi kua unatokea geographical area ya dar!!
Namaanisha kua na ww n mwanaume wa dar?
Swali lako halieleweki..umeuliza mimi ni wa Dar? Halafu haumaanishi kua ninatokea geographical area ya Dar..halafu pia hapo hapo unauliza ya kwamba mimi ni mwanaume wa Dar? Vipi wewe ni mwanaume wa mkoani nini ?
 
Ebu nikusaidie mkuu kiswahili kimekua
Mwanaume wadar-mwanaume legelege, mayai mayai
So doent necessary reflect geographic area
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…