Kinachoboa Mwanza

Mwanza ni jiji ambalo halina presha kama Dar na Arusha, halafu hatuna mambo mengi sana hivyo tuchukulie tu tulivyo
Atleast mkuu hutak kubisha ukweli ila unashaur ku adapt
 
Sasa mwanza jiji kila kitu kizur lakin msos kama wanapikia nguruwe yaan unanunua wal samaki unaishia kumla samak
 
Ukitaka mambo ya burger,juice zilizoenda shule,kuku wa kuoka nenda Salma corne,

ukitaka chips za kiwango cha MacDonald ,kuku wa sampuli ya KFC nenda mgahawa wa Sizzler.

Mambo ya tea,coffee etc nenda SUNCITY hotel.

Mchemsho etc nenda Four ways ,ila hii sidhani kama bado ipo,

ukitaka mambo ya mishakiki ya kukanga,keki za kiwango cha kimataifa nenda Victoria Fast food.

Ukitaka mambo ya Roast kuku,samaki etc nenda Chrimas Tree,Aspen etc

ila biriani,pilao ndo itabidi uende kwa mama lishe
 
Nimetoka nimeishia kula malaya na bia msos amna
Buda ukija mjini tafuta ma alwataan wa mji,,,, unataka chakula kama cha almaida pale lumumba?..kesho mchana nenda mwanza hotel ukifika unga na barabara inayoelekea kwa mataa then ukifika hapo ulizia kwa wapemba wanapopika msosi......
Usiporidhika, niambie nikuelekeze chimbo lingine
 
Heheh Ukiwa kwa watu kubali kuendana na mazingira mkuu, hayo ya wali nazi subiri ukirudi Bandari Salama.
 

Sijajuta kushituka usingizini na kuingia jf
 
Inaonesha mkuu umeingia mwanza na budget ya buku 3000 kwa siku ...yapo maeneo mazuri ukala chakula safi ,tafuta mwenyeji akupeleke maeneo kama harden palace kama sijakosea

Kula hivyo vyakula mkuu urudishe heshima dar ..maana masai dar sio walinzi tena ni kuwauzia dawa tuu adi viungo vya pilau
 
amekula huyo jamaa kamanga kwa buku
 
Dar es salaam ina wilaya tatu tu, je jiji la Mwanza lina wilaya ngapi? Ukishapata jibu hapo utajua kwa nini nimepinga
Nadhani amemaanisha population, biashara na maendeleo
Maana kijografia Dar ndio mkoa mdogo kuliko yte TZ
 
Mwanamme wa Dar anakuja na mada nyingine ili asisutwe. Sawa mwanamme wa Dar tumekusikia, kwa hiyo ulitakaje?
 
Asante
 
Asante
 

Umemaliza kila kitu we mwanza kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…