Kinachoboa Mwanza

Kinachoboa Mwanza

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,646
Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es Salaam ambalo limeshika namba moja.

Lakini;

WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7 inajulikana

MISOSI
Hapa ndipo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yani hapa nawapa zero.
Watu wa huku kwenye kuandaa misosi wako rafu na hawajui kabisa yaani wanachojua ni kuchemsha tu vyakula karibia vyote ila ndiyo waandaji ndiyo shida hiki kimeniuzi sana.

Wao wenyeji hawaoni tofauti. Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind kama ushaishi Pwani, Tanga, Dar hata Dodoma, Iringa, Mbeya, Morogoro wapo vizuri ila siyo huku.

Uzuri ni samaki tu! Unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu hapo washamaliza. Yaani unajiuliza ungeagiza mchemsho tu! Unless uende kula mahotel makubwa sana ila siyo restaurant au migahawa.

BIASHARA
Biashara na mzunguko wa hela unaonekana. Upo
yaani kama misosi inachemshwa ili mradi tu na bei juu bado watu wananunua, pesa ipo
na biashara nyingne naona zinaenda.

Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu.
 
Mwanza n jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es salaam ambalo limeshika namba moja!!

LAKINI

WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7... Inajulikana

MISOSI
Hapa ndpo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yaan hapa nawapa zero,...
Aisee watu wa huku kwenye kuandaa misos wako rafu na hawajui kabisa ....yaan wanachojua n kuchemsha tu...vyakula karibia vyote ila ndyo waandaji ndyo shida hiki kimeniuzi sana

Wao wenyeji hawaoni tofaut
Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind....kama ushaishi pwani,tanga ,dar...hata dodoma ,iringa,mbeya ,moro wapo vizur ila cyo huku

Uzur n samaki tu!!.....ivi unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu apo washamaliza......
Yaan unajiuliza ungeajiza mchemsho tu!!
Unless uende kula mahotel makubwa sana !!ila cyo restaurant au migahawa

BIASHARA
Biashara na mzunguko wa ela unaonekana. Upo
Yaan kama misos inachemshwa ili mrad tu na bei juu bado watu wananunua ...pesa ipo
Na biashara nyingne naona zinaenda

Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu
Acha sisi tule michemsho ya samaki,wewe kama unataka samaki aliyekolezwa viungo nenda kamwambie shemeji akufanyie hivyo.
 
kawaulize wasanii na bongo movi kwa nini wanapenda kwenda huko ukipata jibu utanyamaza
 
Kwenye mapishi ww ni muongo sikuungi mkono
 
wanaume wa dar bana kila siku kutwa kuanzisha nyuzi kuhusu kuikandia mwanza ili mradi tu mpate point ya kuondoa ka unyonge kenu,hivyo vyakula ndo vinavyowapa nguvu wanaume wa mikoani.

Mafuriko yakitokea huwez mkuta mwanaume wa mkoani kabebwa mgongoni,au kaenda kusafishwa miguu baada ya kutembea kwenye tope never.
 
Iringa Mbeya labda ulikula kipindi baridi Imekukamata na ulimi haukuwa unaweza kufafanua taste vzuri kwa kipindi nilichoishi sijawahi kukutana na chakula kizuri wako chini kwenye mapishi cha ajabu mpunga wanalima wao ila jikoni zero cjajua vyuo vya ufundi wa mapishi vinafanya kazi gani kule hivi majuzi nilikuwa Mbeya Hotel nikahisi labda huko nitapata ahueni ila c lolote c chochote.
 
Acha sisi tule michemsho ya samaki,wewe kama unataka samaki aliyekolezwa viungo nenda kamwambie shemeji akufanyie hivyo.
Wale wale wenye mali hawawez zprocess
 
Back
Top Bottom