Yule Mzee wakati ule alikuwa akifundisha land law. Sijui kama bado yupoWakati nipo Udsm nilikuwa napenda sana kupita ile njia ya faculty of Law nikiwa naenda library ili niwe nasoma majina ya kwenye zile parking.
Sijui kuna siri gani majina ya wanasheria kuwa mabaya..
Nakumbuka sana kile kibao cha Prof. Mgongo Fimbo.... Huyu hakupata 1st Class kweli ? Hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli siyo utani
Huko zipo kibao tu na kila mwaka zinapatikana issue ni kwamba Sups Na Wewe zimetenganishwa na membrane nyembamba sana pasipo kuwa hata Na Cytoplasm!!!!Vipi kuhusu hii college of natura and applied science (CONAS) First class zipo????
Kumbe watanzania mnasoma ili muwe matajiri sio kulisaidia Taifa lenu?sasa first class zao zimewasaidia nini? kwasababu hapo aliyefanikiwa kuliko wote ni Dr. Tenga, wakili aliyepiga hela hadi anaziona za kawaida. kabudi hana hela, anazo za kawaida tu, asha ni za mishahara kama kabudi tu na enzi hizi za magufuli hawawezi kuiba, james orenga (mjaluo huyu) hata simjui, majamba hana lolote zaidi ya kubania wanafunzi pale wasipate kama alivyopata yeye, ataishia kufundisha wenzie tu ili waje kuwa matajiri wampite. ninamheshimu sana Dr. Tenga, kwasababu kati ya woote hao yeye pekee ndiye mwanasaheria nguli anayejua kufundisha, kutunga vitabu na kupractice sheria mahakamani. wengi tumepitia kwenye lawfirm yake na tupo vizuri sana kwenye practice. hao wengine wote mi hawajanizidi kitu zaidi ya vyeti tu.
Zilipendwa kachafua hewa hapo.Kumbe Tabora School inatisha.
Asha Rose Migiro Tabora Girls
Ndalichako Tabora Girls
Magreth Sitta Tabora Girls
Samuel Sitta Tabora Boys
Prof Kabudi Tabora Boys
Prof Mkandala Tabora Boys
Mwalimu Nyerere Tabora Boys
Prof Lipumba Tabora Boys
Joshua Nassari Tabora Boys
Dokta Ulimboka Tabora Boys
Davies Mwamuyange Tabora Boys
Tabora School ni Noma.
Ulichoongea ni kweli mkuu kuna ma lectures hata uandike eti hajalizika wana ubinafsi Fulani hivi.Wanaofundisha pia hawataki kuvunjiwa records zao ili waendelee kukumbukwa wao hiyo ni elimu ya kiafrika illiyojaa ubinafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni jipu ndugu yanguDr Harrison Mwakyembe
Mh Tundu Antipasi Lissu
Tabora ya enzi zile sahizi yamebaki makinikia.Kumbe Tabora School inatisha.
Asha Rose Migiro Tabora Girls
Ndalichako Tabora Girls
Magreth Sitta Tabora Girls
Samuel Sitta Tabora Boys
Prof Kabudi Tabora Boys
Prof Mkandala Tabora Boys
Mwalimu Nyerere Tabora Boys
Prof Lipumba Tabora Boys
Joshua Nassari Tabora Boys
Dokta Ulimboka Tabora Boys
Davies Mwamuyange Tabora Boys
Tabora School ni Noma.
Is that an ugly boast?sasa first class zao zimewasaidia nini? kwasababu hapo aliyefanikiwa kuliko wote ni Dr. Tenga, wakili aliyepiga hela hadi anaziona za kawaida. kabudi hana hela, anazo za kawaida tu, asha ni za mishahara kama kabudi tu na enzi hizi za magufuli hawawezi kuiba, james orenga (mjaluo huyu) hata simjui, majamba hana lolote zaidi ya kubania wanafunzi pale wasipate kama alivyopata yeye, ataishia kufundisha wenzie tu ili waje kuwa matajiri wampite. ninamheshimu sana Dr. Tenga, kwasababu kati ya woote hao yeye pekee ndiye mwanasaheria nguli anayejua kufundisha, kutunga vitabu na kupractice sheria mahakamani. wengi tumepitia kwenye lawfirm yake na tupo vizuri sana kwenye practice. hao wengine wote mi hawajanizidi kitu zaidi ya vyeti tu.
hata baba yako hakukusomesha ili ulisaidie taifa, na hakuna mtu hata mmoja huwa anasoma alisaidie taifa bali ili apate fedha. hiyo kusaidia taifa huwa linakuja baadaye sana, napo unajifanya unasaidia taifa wakati nyuma ya pazia unachanja mbuga kutafuta fursa za kupata hela zaidi. dunia yote wako hivyo na hakuna hata mwanadamu mmoja aliwahi kwenda shule primarily akinuia kulisaidia taifa bali kujisaidia mwenyewe na akishiba asaidie wengine kidogo sana (pamoja na kwamba hakuna mwanadamu aliwahi kushiba mafanikio)Kumbe watanzania mnasoma ili muwe matajiri sio kulisaidia Taifa lenu?
Sasa nimejua kwa nini tupo palepale miaka nenda rudi.
Vipi kuhusu hii college of natura and applied science (CONAS) First class zipo????
dr.magufuli atakuwa nayo ya chemistry dptmt