Kina Klothing Label mpya ya nguo.

Kina Klothing Label mpya ya nguo.

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,694
Reaction score
2,588
Kwa wale wanaopenda pamba za kuwakilisha Bongo!
Kina Klothing - African street clothing

index_01.jpg
 
Ah..nilitaka hiyo T-shirt ya Great Thinker Juliasi ila colour haijanivutia..
 
Nawapa hongera Kina Klothing label kwa ubunifu na uzalendo. Chaguo la maudhui katika nguo zenu ni muafaka. Nawasifu kwa kuamua kuipa heshima na jina nchi yetu na Mwl. Nyerere. Hilo limenigusa zaidi. Mmetufikisha mahali ambapo mnatupa fursa ya kuchagua kuvaa na kutangaza mambo yanayotuhusu dhidi ya yale yasiyotuhusu ambayo wakati mwingine pengine tulikuwa tunavaa kwa sababu ya ubora (quality) tu ya vazi lenyewe hata kama yaliyoandikwa au picha iliyowekwa kwenye vazi hilo hatuna nasaba navyo.

Nakutia shime na kukuahidi kuwa mteja wako. Tupatie contacts............
 
Site sio yangu mkuu. Ukienda kwenye site utaona kuna link ya kununua online, nadhani kama uko nje ndio itakuwa rahisi, maana bongo Credit Card kitendawili.
 
Back
Top Bottom