Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,301
- 9,809
Mkuu so kweliHahahha hapana mkuu nikauandishi tu mkuu.
ila mm ni tangaline
Mkuu so kweliHahahha hapana mkuu nikauandishi tu mkuu.
ila mm ni tangaline
Unanikuza tu.Huwezi kutia neno hapo ni lazima ukimbie.
Unanikuza tu.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sababu mentality ya wabongo asilimia kubwa ni huko hotelini wanaenda kufanya matusi hivyo wanaona haya wahudumu kumwona live.
Ebu nipe hela mie uniambie nikalipie kilimanjaro kempinski au serena au hotel nzuri yenye akili uone kama nitaona haya, especially nije kwa shughuli zangu niko safarini au nataka kuspend time mbali na nyumbani akaaa! Nalipa bila haya!