Kivipi kwa mfano?Ataachaje kuona aibu kama jana yake alikuwa hapo mubashara na mwanaume mwingine
Huelewi sio, Afadhali kama hujaelewaKivipi kwa mfano?
Mkuu kiswahili chako kigumu sana.Si kwamba alipe vyote kila bill inayoitwa chumba hata km ni mdogo, hata ukampa ukamwambia lipia kabisa hata km ni mkeo ni ngumu sana. Kilichopo si gharama has a ni tendency ambayo najiuliza ni kwa waafrika tu su wanawake wote na hata kuingia lazima utangulie
Dada akizeeka anskua mama ndio haohao ni mila nsdhani na mfumo dume wanauendelezaKama wadada wagumu hamia kwa wamama
Yes kina mmoja aliniambis wanaenda kikazi mwanza, akataka kuacha kazi kwa kuwa mabosi walimuambia hakuna nyumba utakaa hotelini wiki mbili. Nikashangss kama wanalips shida IPO wapi? Anasema bora nyumba niksmuuliza chumba si sehemu ya nyumba? Anasema bora hata hostelSababu mentality ya wabongo asilimia kubwa ni huko hotelini wanaenda kufanya matusi hivyo wanaona haya wahudumu kumwona live.
Ebu nipe hela mie uniambie nikalipie kilimanjaro kempinski au serena au hotel nzuri yenye akili uone kama nitaona haya, especially nije kwa shughuli zangu niko safarini au nataka kuspend time mbali na nyumbani akaaa! Nalipa bila haya!
Khaaaaa
Kweli wadada wa siku hizi wameingiliwa
Yaani wanalipia misosi usafiri nk????
Za masiku upo wewe?Kama wadada wagumu hamia kwa wamama