Kina Dada wagumu Kulipia Chumba

Kina Dada wagumu Kulipia Chumba

Yes kina mmoja aliniambis wanaenda kikazi mwanza, akataka kuacha kazi kwa kuwa mabosi walimuambia hakuna nyumba utakaa hotelini wiki mbili. Nikashangss kama wanalips shida IPO wapi? Anasema bora nyumba niksmuuliza chumba si sehemu ya nyumba? Anasema bora hata hostel

Atakuwa guilty na mambo yake binafsi aliyozoea kufabya hotelini
Ukienda kwa nia nzuri huwezi kuogopa kiasi hiko.
 
Havi mwanaume rijali utakubalije mwanamke alipie chumba wakati hilo nijukum lako?...vijana tusipende kitonga
 
Ndio ilivyo . Ila wakenya inaweza kuwa tofauti .Hii culture inawanyima kinsdada na kinamama fursa za kusafiri kikazi
Umeshalipa tayari?
-ngoja nijifunike na khanga au mtandio nipite asije akaniona, mimi sipendi mtu anione
-njoo basi unichukue tuingie wote ndani mimi naona aibu, kuingia peke yangu siwezi
 
Kwakweli hata mimi sijui, labda anipe aseme muhudumu akija lipia, nayo itaniuma tu bora atoe yeye.
Hapo kinachouma mini ndio na houlizia huko uxito unatoka wapi mbona mhudumu wa jikoni mnaenda kukagua hadi kulipa
 
Huku kunaitwa kupatwa kwa Genye, wako tayari kufanya lolote lile ili mradi kutibu genye zao.

Khaaaaa


Kweli wadada wa siku hizi wameingiliwa

Yaani wanalipia misosi usafiri nk????
 
Hupati utamu kama ukiwa na kitu chenyewe dildo linanyonya chuchu? Dildo linapapasa mwili? Dildo linakwambia maneno matamu yanayozidi kukupagawisha na kukupa raha? Dildo huongei nalo ukimaliza unasema moyoni natamani ningekuwa na njemba badala ya hili dude. 🙂🙂🙂

Dildo hakuna?
 
Hupati utamu kama ukiwa na kitu chenyewe dildo linanyonya chuchu? Dildo linapapasa mwili? Dildo linakwambia maneno matamu yanayozidi kukupagawisha na kukupa raha? Dildo huongei nalo ukimaliza unasema moyoni natamani ningekuwa na njemba badala ya hili dude. 🙂🙂🙂
Mmmmh!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
sasa mwanaume wa mkoani kweli atatoka na mwanamke halafu anataka mwanamke alipe chumba, alipe chakula n.k, sasa uanaume wako upo wapi sasa hapo, si sawa na umeolewa tu au umechumbiwa na uyo mwanamke? wanaume wa dsm tatizo sana aisee. wanapenda snaa kulipiwa.
 
Back
Top Bottom