Kina Dada wagumu Kulipia Chumba

Sababu mentality ya wabongo asilimia kubwa ni huko hotelini wanaenda kufanya matusi hivyo wanaona haya wahudumu kumwona live.

Ebu nipe hela mie uniambie nikalipie kilimanjaro kempinski au serena au hotel nzuri yenye akili uone kama nitaona haya, especially nije kwa shughuli zangu niko safarini au nataka kuspend time mbali na nyumbani akaaa! Nalipa bila haya!
 
Wanawake wanapenda kufanyiwa vitu vingi sana nasisi wanaume na hujiona wapo safe na huru zaidi,
ikiwa kumfungulia tu mlango wa gari kunamfanya akuone so special, so huwa wanaenjoy kufanyiwa vingi wakiwa nasisi
 
Huyo wa hivyo kweli amekutoa gizani..

Wengine hata wakitumia nauli ya buku wanataka walipwe Tsh.50,000/=
 
Mkuu kiswahili chako kigumu sana.
 
Nilikuwa nalipia chumba kupitia m pesa , uwe na hotel moja nzuri wakuzoe
 
Yes kina mmoja aliniambis wanaenda kikazi mwanza, akataka kuacha kazi kwa kuwa mabosi walimuambia hakuna nyumba utakaa hotelini wiki mbili. Nikashangss kama wanalips shida IPO wapi? Anasema bora nyumba niksmuuliza chumba si sehemu ya nyumba? Anasema bora hata hostel
 
Teh teh teeeeh!!!!
Kweli JPM kakaza.
 
-Lipa wewe halafu tukiingia ndani nitakulipa.
-Tangulia wewe ukishalipa nishtue mimi nipo kwa hapa nje utanipigia simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…