Umenitoa Gizani
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 387
- 182
Watajitahidi kwenye misosi ,usafiri nauli watalipa sasa chumba cha hoteli ni ngumu Sana . Ikibidi sana atakupatia fedha uende reception bila yeye kujihusisha.
Mkuu samahani we ni wa nyanda za juu kusini?Wanaona kaaibu mweehh
Hahahha hapana mkuu nikauandishi tu mkuu.Mkuu samahani we ni wa nyanda za juu kusini?
KhaaaaaWatajitahidi kwenye misosi ,usafiri nauli watalipa sasa chumba cha hoteli ni ngumu Sana . Ikibidi sana atakupatia fedha uende reception bila yeye kujihusisha.
Anhaa asanteHahahha hapana mkuu nikauandishi tu mkuu.
ila mm ni tangaline
Asante na ww..Anhaa asante
Yaani wewe umelipiwa msosi,usafiri bado unalilia kulipiwa chumba?! Olewa basi ili utunzwe!Watajitahidi kwenye misosi ,usafiri nauli watalipa sasa chumba cha hoteli ni ngumu Sana . Ikibidi sana atakupatia fedha uende reception bila yeye kujihusisha.
Si kwamba alipe vyote kila bill inayoitwa chumba hata km ni mdogo, hata ukampa ukamwambia lipia kabisa hata km ni mkeo ni ngumu sana. Kilichopo si gharama has a ni tendency ambayo najiuliza ni kwa waafrika tu su wanawake wote na hata kuingia lazima utangulieYaani wewe umelipiwa msosi,usafiri bado unalilia kulipiwa chumba?! Olewa basi ili utunzwe!