Kina dada wachunaji mko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kina dada wachunaji mko wapi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kashaijabutege, Dec 15, 2010.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mimi ni Mhasibu. Nakaribia kumaliza mwaka nikiwa na 'surplus'(ziada). Hii ina maana matumizi yangu yamekuwa madogo ukilinganisha na nilivyopanga kutumia. Sehemu kubwa ya ziada imetokana na kina dada kutonichuna sana kama ilivyokuwa mwaka 2009.

  Ombi langu ni kwa kina dada wanaojua kutumia kunitafuta ili tutafune pesa kabla ya mwaka huu kuisha. Mie nina pesa mpaka nachukia.
   
 2. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Hebu ngoja aje Da sophy hapa, atawataja na wenzie...................tender nzuri hii
   
 3. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Wakisehema watu wenye majina yanayofanana na la kwako wana tabia za umalaya usibishe na wale usilalamike kuwa kabila lenu halipendwi na linachukiwa
   
 4. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Mh! Dunia hii!Kweli ishi uyaone.
   
 5. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  inshallah allah akuzidishie ya rab,,,,toa sadqa,,, tafuta mke uowe,,,, saidia familia yako na nenda hijja na kuwa mtu mwema ndugu yangu mpenzi si kuanza kuwaza kuzini na kufanya maasi,,kumbuka kumshukuru alie kupa kwanza na kufanya mambo ya ibada ndio utaona manufaa zaidi wallah,,samahani kama nimekuudhi lakini ni ushauri wangu tu kwako
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Acha ulimbukeni ndugu, wenye hela lanafikiria kuinvest...
  wewe masikini hata hicho chako kidogo unataka kukiteketeza
   
 7. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  pia wanalewa kwa sifa, ona hiyo aliyojipachika ya kuwa na pesa hadi anachikia. na utachunwa kweli mpaka mkobo wa HESLB uliopewa majuzi kisha uanze kulia shule ngumu!, shauri yako
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nilipe deni langu kabla hawajaanza hiyo kazi ya kukuchuna.
   
 9. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  umesema sahihi mamii
   
 10. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  shukraaaan!!!!!!!!
   
 11. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wala hujaniudhi. Dada hayo yote nimefanya lakini pesa haiishi? Na wala sitaki kuzini na mtu yeyote. Mimi ni mtu wa Mungu (kama wewe?)
   
 12. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa uchunwe kwa ajili gan ndugu yangu bora utoe sadqa mara elfu kumi kuliko kutafuta mwanamke ambaye si mkeo akuchune lazim bilisi apite hapo kama yote umefanya mpaka hijja umekwenda basi ukifanya unayotaka kufanya hakuna ibada utakayopata wallah naapa mana itakuwa sawa na kusokota kamba halafu ukaitupia kwenye moto nini utapata??? jitahid muepuke shetani huyo ni shetani abuy jenga hata miskiti uzidi kupata cheo cha dunia na akhera kuliko kuchunwa huoni kama ni upumbavu huo wa shetan???please....
   
 13. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hilo jina lako linasapot hyo thread yako.kila la heri bwana rwayemam, ah samahan rwegasira. oh sore kashaijabutege
   
 14. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwani unahisi mimi ni kabila gani? Mie sio Mkwere tafadhali! Naona majina yote uliyotaja si ya kabila langu.
   
 15. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jamani bado nasaka wachunaji. Kina dada warembo na wasio warembo wa JF mbona hamnitendei haki? Paka Mweusi, Preta, Rose, Cheusi, Mamshka, FL, na wengine mbona hamjitokezi? Njoo mle feza, sina masharti.
   
 16. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #16
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,082
  Trophy Points: 280
  hizo zilizozidi kampe mama yako mzazi atakushukuru na kukuombea heri
   
 17. hee-wewe

  hee-wewe Member

  #17
  Dec 17, 2010
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahahahah
  kichekesho jamani,,,,,,
  hihihihihihihi
  hohohohohoho
  nadhani umekosa lakuongea

  kumbuka kuna yatima na wajane, wagonjwa wasioweza kujilipia gharama za matibabu, wanakufa, bora ukawasaidie
  ili upate thawabu kw Mungu aliyekupa pumzi ya bure,,,,, take care men
   
 18. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mama alifariki tarehe 5/3/1982. Hata hivyo ndugu zangu wote nimeshawapa. Unasemaje?
   
 19. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #19
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwani kuna ubaya kuwapa kina dada? Yote hayo nayajua.
   
 20. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2010
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kashaijabutege... Siku zote itakua na surplus,kona zako unazopita vilabuni kwenye wanzuki ukihonga bia wajiona umetoa! limbukeni kama wewe nikikuchuna si utataka kuhamia kwangu? Ushauri wangu,
  Oa mkeo atakuchuna vizuri kwa maendeleo endelevu na kumbuka kwa mwenye akili Siku zote Pesa haitoshi!
   
Loading...