Kina dada wa siku hizi

Kina dada wa siku hizi

hao wa mwanzo ww uli-assume ni wapenzi lkn wao walikuona na kukuchukulia kama rafiki tu wakawaida!upo....
 
Hahahaaaaaaaa,, cjui nikwambie una bahati nzuri au mbaya celewi.
 
Jina la avatar yako tatizo, usitafte mchawi
 
Khabari gani popote mlipo,

Nianze moja kwa moja na mada hii inayolenga zaidi kina dada,

Dada wa kwanza tulikutana chuo, tukazoeana marafiki kwa muda wa miezi sita bila kugegedana, akanipiga kibuti sikujua tatizo

Dada wa pili tulikutana mtaani na tulipendana sana tu na nilikaa naye mwaka mzima bila kugegedana, aka take time zake

Dada wa tatu sikufanya kosa alipoingia line tu nikaanza kugegeda, mpaka leo hii nipo naye

Swali langu la msingi ni kwamba, hamuwezi kuwa marafiki bila kugegedana au ndo madada wa kizaz kipya?

Ukiweka na vi picha angalau viwili vitatu hivi sio mbaya ili kutupa msaada wa namna ya kukusaidia
 
Back
Top Bottom