Kijana Mzeeeh
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 295
- 324
Imenilazimu kuandika haya kutokana na mambo ya kweli kabisa niliyoyafanya katika maisha yangu.
Mwisho wa mwezi huu natimiza mwaka mmoja katika ajira, ila kinachonisikitisha hakuna cha maana nilichofanya. Nipo hapa natafakari ni kitu gani nimefanya katika kipindi cha mwaka mmoja, naona nimenunua samsung smart phone tu. Inanisikitisha sana!
Mshahara wangu si mkubwa wala si mdogo sana, ni 800k on average monthly (net). Lakini nikifikiria namna ulivyoteketea kwa hawa kina dada, inaniuma sana.Hadi leo bado naishi kwa Baba na Mama.
Nimekuwa nikinywa bia tangu nikiwa chuo na nilifanikiwa ku-save almost 2.8m katika boom langu for my 3yrs in college na siwezi kulaumu bia kwani utaratibu wangu wa kwenda Bar haujabadilika ni ule ule weekend hadi weekend na bia zangu ni zile zile bia 2/3/4 mara chache sana 5.
Kinachonifanya nione ni hawa kina dada; ni kwamba wakati niko chuo nilikuwa sina time nao hata kidogo, nilikuwa bize natengeneza GPA yangu.Ila tangu nimepata kazi, nimeanza kuhangaika na hawa kina dada, na ninaamin ndio sababu ya mimi kutokuwa na maendekeo yeyote yale ya maana.
Niko Bar hapa nikitafakari haya na kuna Mbebez fulani amazing na kimini chake cha punda milia amesha-anza kuuteka moyo; inauma sana pesa unayopata kwa kuhangaika mwezi mzima na almost 20% to 25% of it inateketea kwa usiku mmoja, na mshahara ndio umeingia leo hii.
Am 24 na mpango wa kuoa ni nitakapotimiza 28, Eeeeh Mungu nipe nguvu za kuushinda huu mwili, hawa viumbe wasiniuwe masikini.