Kina Dada....nyoweni ama msinyowe nd'o swali?


Mbona mav**zi yapo
 
mi sioni tatizo...as long as ur comfortable with ur looks,to hell with what others think...tatizo linalowafanya wakina dada wengi wawe na artificial looks(ambazo mwisho wa siku ndio wanazotukandia),ni kwamba,hawaridhiki na walivyoumbwa,na hupenda kusikiliza sana maneno ya watu na kujiona wabaya,kwanini wasingekuwa hivi au vile..just be content with what u have and how u look...its the best way God wanted u to be!!!!!

nina mdogo wangu anazo,and they look very nice on her...sometimes we admire her looks!

thumbs u for her and all ladies who are proud of themselves!!!!!
 
...............mimi nimependa na if she were my woman i wouldn't let her shave them-romantic and aphrodiatic!!
 
Tazameni miguu ya Monique hiyo. Je swali ni kunyoa au kutonyoa.

Wanaume mwasemaje hapa?






Nywele zina raha zake. Kuna wengine tuna fetish ya wanawake wenye nywele za miguu, aaaahhhhh. Na huyu anajua hili ndio maana makusudi katunyanyulia hilo guo atuadhiri watu wazima, mnhhhh, mfadhaiko.
 
Napenda sana manyoya mie dah...hapa full mzuka acheni majamen
 
Mh! wanaume wengi huwa na manyoya na wanapokutana na ngozi nyororo ya wadada huwa burudani, sasa huyo ana manyoya nani ata-enjoy
 
A waxed leg looks prettier jamani! Mwanamke anapendeza mguu ukiwa smooth...sema tu waxing ya kuondoa manyoya inauma hiyoo..unawaza mara mbili mbili!
 

Hivi ulichoandika ni scientific au speculation tu. Kama ni scientific mbona mgongoni hakuna wakati ufunikwa karibu muda wote, baadhi ya wanaume wanayo kwenye kifua na tumbo maarufu kama 'love garden' na wengine hawana wakati sehemu hizo ufunikwa muda wote, mbona kiononi hakuna.
 
Tazameni miguu ya Monique hiyo. Je swali ni kunyoa au kutonyoa.

Wanaume mwasemaje hapa?






Mtu anapozaliwa ni mchanganyiko wa baba na mama kwa proportion ya 50% kutoka kwa kila mzazi, sasa hapo yawezekana huyu dada kachukua gene ya baba na kupelekea kuwepo kwa type hiyo ya miguu.
 
Mbona huwa hamuoti "bustani ya mapenzi" kwenye vifua vyenu ama nyuma ya mgongo wakati mwili huwa mnaufunika?
 
ah jibu hapo ni dogo tu afanye atakavyo lakini kama ni issue ya je hizo nyweli zina impact gani?ni kwamba kuna wadau wanazizimika nywele kama hizo ni balaa si mnajua tunatofautiana jamani
 
ah jibu hapo ni dogo tu afanye atakavyo lakini kama ni issue ya je hizo nywele zina impact gani?ni kwamba kuna wadau wanazizimika nywele kama hizo ni balaa si mnajua tunatofautiana jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…