Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Tazameni miguu ya Monique hiyo. Je swali ni kunyoa au kutonyoa.
Wanaume mwasemaje hapa?
Wanaume mwasemaje hapa?
Tazameni miguu ya Monique hiyo. Je swali ni kunyoa au kutonyoa.
Wanaume mwasemaje hapa?
![]()
duuuh atakuwa kajisahau kwamba hakunyoa miguu hapo.
Mo'Nique was dressed to the nines at Sunday night's Golden Globes, wearing a long golden gown with a wrapped bodice to pick up her award for Best Supporting Actress in a Drama. She also dared to go all-natural under the flowing fabric, showing off her hirsute gams on the red carpet.
....Haina hata haja ya kunyoa, dawa yake ni kuvaa vimini/short pants nywele zote zitapotea.
Ukiwa mzoefu wa kuvaa nguo ndefu lazima uwe na nywele kama hizi, tena sio kwa wanawake tu hata wanaume hutokea nywele kama hizi.
Hii hutokea hata kwenye mikono kama unapenda kuvaa nguo za long sleeve.
Inategemea tu how comfortable she is with her looks. Mi binafsi sioni tatizo akiachilia nature ichukue mkondo wake.. 😀
Dadangu Pretty,
Sometimes hii ni genetics na huwezi kusema eti utavaa vimini na pants
kisha ipotee.
Swali langu ni kwa mfano tayari miguu ipo hivyo utanyoa kwanza ndo
uanze kuvaa shorts na vimini ama utavaa tu...potelea mbali hata wakiona?
Mwanamume weye naona humaindi kamwe. wewe ni mambo ya naturally tu.
Hata kama ni kikwapa???...😀
Mwanamume weye naona humaindi kamwe. wewe ni mambo ya naturally tu.
Hata kama ni kikwapa???...😀
Teh teh teh! Ngoshwe nawe! Kawaida hiyo haifiki mapajani bwana, na ukipapasa inaleta raha fulani.Kama miguuni hivi, huko "kwenye maungio" si itakuwa rasta?...