Hahahahaha eti sare za jeshi?watu mna maneno?
Na kuwa wanatukaribisha kwenye huo "upendeleo"?
Na wewe umependelewa...?
Afu mbona sikuoni mtaani? Wageni wanakufunika ujue...mie nina ya kukalia tu......
Afu mbona sikuoni mtaani? Wageni wanakufunika ujue...
Mwanamke pozi babu weeee!!!!!
Akhuuu! Mie flat yangu huwa naogopa kuipiga hiyo mipicha
Kutojielewa.
False confidence.
Mimi nae nilikuwa na mtu wa hivyo akanitumia picha kapiga hvyo nikamueleza akanielewa na akaacha.
Ukipita huko facebook na instagram sijui... zaidi ya 90% ya kina dada akitupia picha mbili tatu, lazima moja inakuwa imepigwa from behind...
Ni style tu au huwa labda kuna message mi sielewi?
Mi huwa natupia "Like" tu...
English figure.I like it.Tena anaweka na salamu, "za asubuh wapendwa nawatakia siku njema"na Hizo picha ndo zinasukumia. Lkn Sisi ambao hatujaaliwa neema za Allah hata atuchubutu!!
Nasubiri niione yako
hahaha hautakaa uone...