aqeelah
JF-Expert Member
- Apr 22, 2014
- 360
- 242
Ila mi naona wote tu wanaweka... hata flat screens
Akhuuu! Mie flat yangu huwa naogopa kuipiga hiyo mipicha
Ila mi naona wote tu wanaweka... hata flat screens
Nipe fb id yako nichek kama kweli...
Utamu wa kondoo mkia
Ukipita huko facebook na instagram sijui... zaidi ya 90% ya kina dada akitupia picha mbili tatu, lazima moja inakuwa imepigwa from behind...
Ni style tu au huwa labda kuna message mi sielewi?
Mi huwa natupia "Like" tu...
Kweli... ila nauliza pozi la rivasi lina maana gani?
Ukipita huko facebook na instagram sijui... zaidi ya 90% ya kina dada akitupia picha mbili tatu, lazima moja inakuwa imepigwa from behind...
Ni style tu au huwa labda kuna message mi sielewi?
Mi huwa natupia "Like" tu...
Hivi wanatuonyesha tu... ni welcome msg?
Sony Wega wote kuleni chips yai nyama samaki maziwa inye itakuwa gwede gwede.
Hiyo migongomigongo nami nimekuwa nikiitafakari sana. Sijui ni nini hiki. Mingine myeusi tiii, mingne ina mabakamabaka kama sare za jeshi