Kina dada muwe makini na Foreigners

Poor her...na hivi mahaba yanavyonipotezaga kama noti ya jero...nkikoleaga!!mhhh
 
Huyo jamaa mbona kapiga ela kidogo ivo... wenzie wanapiga kuanzia milioni 50...

Anapiga zilizopo mkuu, ukute ana loop ya watu kibao anacheza nao mchezo mmoja, sasa akikusanya kusanya si haba. We imagine kakomba za kwenye account, dada watu akachukua mkopo wa benki, then akamalizia kukopa kwa washkaji, na alikuwa ameomba nyingi zaidi sema watu kwa kujua kipato cha dada huyo hawajampa nyingi kiivo.
 
Nilicheka siku moja niliona babu wa kiaustralia nae akilia kuwa alichukua mkopo wa kama dola elfu 50 ukaliwa na Mnigeria ambaye hata hakumtia machoni...
 
Nilicheka siku moja niliona babu wa kiaustralia nae akilia kuwa alichukua mkopo wa kama dola elfu 50 ukaliwa na Mnigeria ambaye hata hakumtia machoni...

Hawa jamaa ni noma, mi nakwambia mtoto wa mjomba ake huyu dada aliyeibiwa naye alilizwaga na mnijeria mwaka 2012. Aliuza mpaka verossa aliyopewa na baba yake (baba yake anafanya biashara ya kuuza magari).

Alipewa hela ya kulipia chuo (MBA) wakala, jamaa lilimwachia mtoto likatambaa.
 
Afu nikishakupa kupa ndogo ndogo nakuibukia na proposal kwamba nimeshinda tenda ila sina hela ya kuihonga tender board. Tuchange change ili tuwin hiyo tender maana tutapata mamilion!!!!

Ukiingia tu, narudisha hadi zile zote ulizokula.
 
Ungekuwa mtongozo wa Kiswahili ndo ungemruhusu aje aishi kwako eti...?Ili akupate aache kutongoza kwakizungu huyo Mcameroon.(Ushauri wa bure kwake...!)

Kwangu wapi sasa? Naishi kwa mama kula kulala...
 
Afu nikishakupa kupa ndogo ndogo nakuibukia na proposal kwamba nimeshinda tenda ila sina hela ya kuihonga tender board. Tuchange change ili tuwin hiyo tender maana tutapata mamilion!!!!

Ukiingia tu, narudisha hadi zile zote ulizokula.

Ujidanganye tu ukizan utapata hela kwangu mbona utasota sana adi surual itoboke mak.alion na iyo tenda yako nakutoa nduki adi uone ulimwengu wa orange
 
tehe tehe tehe tehe umeona eeh,huo ndio mpango mzima
 
Foreigners wana maneno matamu jamani.. waacheni tu watu wachanganyikiwe nao, ukitaka kubembelezwa, kuitwa baby, sweetie, nini sijui we tafuta foreigner. na maua utaletewa utafikiri jamaa ni florist, waweza hata fungua dula la kuuza maua
 
Afanalekiiiiii

Ilikua almanusra

Hahahahah kumbeeeee

Mwisho unaanza kumrudishia hela ya maua indirectly

Foreigners wana maneno matamu jamani.. waacheni tu watu wachanganyikiwe nao, ukitaka kubembelezwa, kuitwa baby, sweetie, nini sijui we tafuta foreigner. na maua utaletewa utafikiri jamaa ni florist, waweza hata fungua dula la kuuza maua
 
Heeeee

Milioni 6???????????

Hadi nimepata kizunguzungu

wawest sio wa kuwaamini hata kwa salamu tu

na madada zetu nao kwa wageni... hadi wafipa wa karonga wanawachanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…