Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Kunawakati wadada naona hawako serious .... Unakuta mtu anaomba Mungu daily mpaka kwenye status anaandika "GOD BLESS MY RELATIONSHIP" wakati huo ana date na wanaume 11 ... sasa si bora aseme God bless my TEAM!