Kina dada kulipa mahari?

Kina dada kulipa mahari?

Kuna mtindo ambayo inatrend sana swala la kina dada kujilipia mahari ,
Swali ni kama dada unaeza msadia mpenzi wako kulipa mahari
Na wewe
Kaka unaeza kubali mpenzi wako kukulipia ama kukusaidia kulipa mahari
Nipe maoni yako
Kutoa mahari ni kipimo cha uanamme. Mwanaume kujitutumua na kuwaonesha wakwe kuwa binti yenu namchukua na nina uwezo wa kumlea na kumhudumia.

Mwanaume hupaswi kujiliza liza tena mara sijui kuomba kupunguziwa mahari au kumwomba huyo mchumba wako wa kike naye akuchangie fedha, hiyo ni NO.
 
Kwa zama hizi swala la mahari ni utapeli wa wazi zaidi na upo kimslahi ni pata potato tu
Kuna mzee anasikikq akisema kijana akimuoa binti yake pasina kumtolea posa yaani ile sogea tukae na bahati nzuri mipango ya mungu ikatimia yule binti akafariki yule mzee anasema anakuozesha maiti kwanza alafu ndo wanazika
ukiona mzee anakwambia hayo jua atatengeneza tatizo
 
Kutoa mahari ni kipimo cha uanamme. Mwanaume kujitutumua na kuwaonesha wakwe kuwa binti yenu namchukua na nina uwezo wa kumlea na kumhudumia.

Mwanaume hupaswi kujiliza liza tena mara sijui kuomba kupunguziwa mahari au kumwomba huyo mchumba wako wa kike naye akuchangie fedha, hiyo ni NO.
Lakini vipato havitoshani
 
Kuna mtindo ambayo inatrend sana swala la kina dada kujilipia mahari ,
Swali ni kama dada unaeza msadia mpenzi wako kulipa mahari
Na wewe
Kaka unaeza kubali mpenzi wako kukulipia ama kukusaidia kulipa mahari
Nipe maoni yako
Ila kuna wanawake wenye hela wanastruggle sana kutafuta waume wa kuwaoa, ubaya wanakutana na Marioo na mbaya zaidi siku hizi kuna wengine wanawablackmail na kuwapiga hela.

Kuna visa kama viwili nilisimuliwa,kuna wahuni wanawatongoza mademu wale wenye hela na wanapresha ya ndoa. Wakisha wapata wanahakikisha kwanza demu hapati kabisa picha yake, pili wanahakikisha shoo wanaenda kuipiga Lodge au hotelini na siku ya shoo jamaa anawahi Lodge na kutegesha kamera, then akishapiga shoo video anaitumia kumtishia demu ili ampe hela. Kuna visa viwili kama hivi ,kimoja juzi juzi demu mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye haya mashirika makubwa ya kimataifa, mwamba baada ya kumrekodi akawa anamtishia ampe hela la sivyo ataziachia video, demu akawa anampa laki mara laki mili siku nyingine mpaka tano,then kuna siku mwamba akamwambia anataka mil 3 hapo demu ndipo alichoka.

Demu akaamua kumsimulia rafiki yake ambaye alimsaidia kwa kumtafuta polisi anayemjua wakampoza na hela kidogo, then yule polisi kwa kutumia namba ya simu wakamtrack na kumkamata jamaa,akafuta video na kupigwa mkwala.
 
Khaa we uko wap, mahali za laki ckuiz hamna.. ni wapi huko nikaoe 😅😅😅
Tangu mwanzo wa mjadala, Inaonesha una hoja lakini wenzako wanakuzibia. Ni hivi, tangu zamani wife materials walishirikiana na wa chumba zao aidha kupunguza mahari au kuchangia mahari (kwa usiri sana). Na ndoa zao zilidumu. Seran unakosea unaposema huwezi kumpa mwanaume pesa. Dunia hii ni kusaidiana.
 
Hapa naona kwamba nakubaliana nawe
 
Back
Top Bottom