Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 11,885
- 35,352
Hicho kiherehere niliacha zamani sana, nilikuwa najifanya mapenzi nimeyavumbua mimi😱saizi kila mtu apambane na maisha kivyake! Siwezi aisee..Tangu mwanzo wa mjadala, Inaonesha una hoja lakini wenzako wanakuzibia. Ni hivi, tangu zamani wife materials walishirikiana na wa chumba zao aidha kupunguza mahari au kuchangia mahari (kwa usiri sana). Na ndoa zao zilidumu. Seran unakosea unaposema huwezi kumpa mwanaume pesa. Dunia hii ni kusaidiana.