Kina dada kulipa mahari?

Kina dada kulipa mahari?

Kwa zama hizi swala la mahari ni utapeli wa wazi zaidi na upo kimslahi ni pata potato tu
Kuna mzee anasikikq akisema kijana akimuoa binti yake pasina kumtolea posa yaani ile sogea tukae na bahati nzuri mipango ya mungu ikatimia yule binti akafariki yule mzee anasema anakuozesha maiti kwanza alafu ndo wanazika
 
Ego is the enemy baadae ukishtuka soon unakumbuka why nili msaidia kumlipia 😄😁😄😃
Yani mimi nina mipaka kwa kila jambo haijalishi nini, hivi unaanzaje kuchangia mahali?😱

Kwanza nilishajiambia kumpa mwanaume pesa ni kumdharau😁 najishushia upendo kwa lazima akhaa sitaki mie🤣🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
HIi inabidi sisi ndio tulipie haya mambo ya kuchangiana ni miyeyusho tu😄😁😃
 
Back
Top Bottom