Kimzaha mzaha

Inatokea sana... hata utarajii mambo yanijipa haraka haraka...
 
wanawake siku hizi wanajirahisisha sana akipiga _ simu alafu akajua aliyepokea ni mwanaume hakuachi hata kama ka wrong number
Sema baadhi ya wanawake kwasababu sio wote.

Ujue bado hapahapa duniani....hapahapa Tanzania kuna wanawake wanaojiheshimu sana na wapo very classic.

Unakuta kwavile hana madharau na hana roho mbaya basi ukimwomba mtoke hakukatalii hata kidogo

ILA sasa hapo kwenye kuomba mzigo ndio utagundua sio easy going.

I hv experienced this.
 
Mi nishawahi kuitwa bebi ndani ya dakika moja.

Halafu akataka na kujimilikisha kabisa.

Nikamwambie wewe...hebu tulia kwanza.
Hao wa hivyo ungeitikia kuitwa baby basi haipiti nusu saa atakulilia shida na kibomu juu.
 
Wewe kweli mchagaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…