Kimzaha mzaha

Acha tu. Nina udhaifu wa aina hii, na sijui naushinda vipi.

I'm a flirt. A serial one. Kimchezo mchezo huwa najikuta nimebananishwa kwenye kona ambazo sielewi hata tumefikaje. Na kujitoa inakuwa mziki.

Nilikuwa nadhani nikifika umri nilio nao nitakuwa na control juu ya hii mambo, ila wapi. Hali ndio kwanza inazidi kuwa mbaya.
 
Duh...zinatokea hizi! Namkumbuka mmoja wakati nikiwa bachelor (karibu miaka 20 iliyopita). Tulikuwa tunaonana tu mtaani lakini kila mtu hakuwa na time na mwenzie. Sasa kuna siku ikatokea (niite bahati mbaya tu) akaja nyumbani kwangu kwa ajili ya shida fulani. Akamaliza kilichomleta, tukapiaga soga za hapa na pale akawa anaaga, na mimi kwa matani tu nimuuliza kwa nini asilale tu maana ninacho kitanda cha wageni.....kabla hajajibu wote tukacheka kuashiria kuwa ni mzaha tu....lakini baada ya kicheko akanipa jibu akisema "siku nyingine", nami nikadakia, "lini?" kwa mshangao wangu akajibu "wikiendi ijayo". Na kweli hiyo wikiendi ijayo akaja kulalia "kitanda cha wageni".......na kilichoendelea ni historia sasa!

Lakini kwa hili na mengine mengi, nilicho jifunza ni kuwa mara nyingi wanaume kwa kutojua tunadhani sisi ndio tumepata, kumbe tumepatikana (i.e. mara nyingi kiukweli ni sisi ndio tunakuwa tumeingia kwenye mitego ya wadada!).
 
Kwi kwi kwi kwi lol! Sasa wewe ungependa uitwe bebi baada ya muda gani! 24 hours?Kishakupenda haoni shida kukuita bebi.

Mi nishawahi kuitwa bebi ndani ya dakika moja.

Halafu akataka na kujimilikisha kabisa.

Nikamwambie wewe...hebu tulia kwanza.
 

Duh!

Kumbe wahanga tupo wengi aisee.
 
Reactions: SMU
Usijambishe kuangalia mshipa kama hujajiandaa kwa matusi.
 
Kwi kwi kwi kwi lol! Sasa wewe ungependa uitwe bebi baada ya muda gani! 24 hours?Kishakupenda haoni shida kukuita bebi.

Hahaaa rafiki...sasa mtu unaitwa bebi wakati hata jina lako halijui?

Hutastuka kweli?

Jamani bebi twende basi tukakae pale kwenye kivuli...bebi tuagize chakula basi mi nna njaa....

Stuka my friend...stuka.
 
Huo mchezo huwa nashinda kika cku hv kesho mtoto atanipokelea maeneo ya kimara mwanzo wa mwendo kas tukafanye yetu sita kwa sita
 
Hainaga shida kama mwenyewe atakubali na mgegedo lazima uwepo tu.
 
Chips funga hii ipo sana kwa wanawake na wadada wa mbeya
 
tukiwakataa mnasema tunaringa
mwanaume wa ktz ?????????? ndo maana hamuendelei
 
When it comes to that, I'm a male version of Kasinde on steroids. I got that mack, it scares the shit outta me.

Mmmhhhh did you call me just for expressing what you said or to alert Kasie up here regarding the thing. .... (kidding. ... don't take Kasie serious )
......... if I get you ryt.... so you are like Kasie when it comes to the thing. ... eehhh.... mmmhhh....

I have just wear my lens glasses.....

Hey missing you.... am very far away right now, if I were near you..... ningekuteka - ningekuchukua mateka kwa usiku wa leo. .... na kukuachia asubuhi ukiwa battery low....... on this issue... am not kidding

Wink!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…