Kimya kinachouma

Mnachowaza Sichooo Kabisa...Maisha Yaendelee Jaman
 
Hana uraibu wowote! Wanaompa wamemzoesha vibaya kashakuwa sugu huyu na hatoacha ni mwendo wa kubadili ids tu!
Inasikitisha watu kama hawa wamesababisha hata mtu ukipata shida huwezi tumia hili jukwaa tena kuomba msaada.
 
Jf Kuna njaa

We Ona..! toka lile ban la wakati wote utitiri platinum member umejaa

We unaomba jamvi msibani
 
Uza sim kisha utapata nauli ya kuja nilipo nikupe kibarua mkuu.
Huku hauna haja ya kuja na pesa, kula na kulala ni camp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…