wanaume wengne jamani mna roho ngumu cjapata ona...mtu hajatafutwa toka ijumaa,kabla ya hapo cjui linii..piga simu wee, kwishneh!kitu long distance,kila mara kulalamika mawasiliano yameisha unajibiwa majibu ya ajabu...ndo yale yaleee ya thread iliyopita mtu unaachwa kimya kimya...inaumiza watu,dah...nimeona niseme tu,mapenzi haya!usicheze na mioyo wa watu jamani..
Pole my dear,..ongea nae b4 hujaconclude,bt kiukwel dalili ndo hzohzo,af kw kizaz hki ambacho cm tunashika kila saa si ajabu inaita mbele ya macho yake anaikaushia,jipe moyo ukimsahau u wl b even more happier japo ts easier said than done
Umeona eeh? Siyo siku zote manyoya yanaashilia kuliwa,,,wakati mwingine huwa kaponyoka kaacha manyoya..
Ila mapenzi ya mbali ni kupoteza muda na kutafuta "finger on the trigger" bure!
hahahaha...chezea limoyo likiwa mbali ww...out of sight...out of mind...out of time to decide...do we run?should i hide? for the rest of my life...(mwanzo wa ule wimbo wa 30 minutes by TaTu