Kwani ni kiongozi gani unaye mzungumzia ndugu yangu GT?Huu ni ochonganishi, Yule ni kiongozi wa taasisi muhimu inchini na chini yake wako watendaji wengi, majanga na ajali nchi hii hayajaanza jana wala leo, tumeona ajali na majanga ya mafuriko, tumeona ajali za Sepide etc, hapa naona mnatafuta lawama kwa kuwa tukio limetokea kanda ile ili badaye mseme, Mods naomba mfute Uzi huu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwasababu huwa unaongea pumbaaaaJamani, Nikiongea munanisema, nikikaa kimya munanisema...Sasa munataka nifanyejeeeeee...Msema kweri ni mupenzi wa Mungu...Watanzania mniombee
ifutwe ili ?tulia ikuingieHuu ni ochonganishi, Yule ni kiongozi wa taasisi muhimu inchini na chini yake wako watendaji wengi, majanga na ajali nchi hii hayajaanza jana wala leo, tumeona ajali na majanga ya mafuriko, tumeona ajali za Sepide etc, hapa naona mnatafuta lawama kwa kuwa tukio limetokea kanda ile ili badaye mseme, Mods naomba mfute Uzi huu.
Mkuu unauzungumzis mshindo upi,maana kuna mishindo mingi?!Kimya kingi kina mshindo
Jamani, Nikiongea munanisema, nikikaa kimya munanisema...Sasa munataka nifanyejeeeeee...Msema kweri ni mupenzi wa Mungu...Watanzania mniombee
Kama ndivyo hivyo... basi asingekatisha ziara ya kukutana na wenzake Lusaka. Angeenda kwa amani kulitumikia taifa.Waziri mkuu si alishawakilisha Kagera? ikumbukwe Tanzania ina majanga kila siku tena ni mengi mno. sasa huo ukimya mnao question mngependa mtu ajigawanye mara ngapi? jipe mfano wewe na familia yako, ni mara ngapi mmeweza kuwepo kwenye tukio wote kwa pamoja iwe msiba, sherehe, kuona mgonjwa N.K? mimi nahisi Pasco unalo unalolitafuta au unalo unalojua na kama unalo unalojua basi kufwa free ku share nasi. After all sharing is caring. Sambaza upendo mkuu.