ufree wa hapa alimaanisha kimi k3 ina offer open-weight models, unaweza zidownload na kuzi self-host kwenye hardware zako, na kuifanyia biashara kwa kufuata miongozo ya leseni zao
tofauti na western top tiers kina gemini, gpt 5.5, opus, etc ni mwendo wa closed-weight models, ie: lazima utumie server zao kwa kulipia kwa API calls
We jamaa id zako hazijifich kama mkia wa mamba kwenye shuka, sijui una hiv maana una hasira za karibu, sasa jibu uone ninavyokushushia matusi tulia hvy hvy ukinijibu nakugonga makofi