Time will tell, ngoja tumchoreTrump anaendelea kufeli kisiasa
alisema atafanya kazi na Russia,sasa wanatushiana
alimcheka Obama kwa hatua alizokuwa anachukua dhidi ya Syria,naye anafanya hayo hayo
Waambie wakajaribu kupiga kule Urusi, hapo ndio utajua kuwa hazifanyi kazi au laaaIle mifumo ni kwa sisi tu tunabishana hapa ila kiukweli hakuna inachoweza fanya
Juzi juzi tu Israel kaingia na ndege zake pale
Putin akaanza piga kelele
Leo kapigwa na hiyo mifumo yake anaanza leta bit za kupeleka aircraft carrier Med Sea
Tupia ka picha ili movie inogeDuh aisee RUSSIA imepeleka Warship Mediterranean ocean kuzikabiri fighting jets za USA zinazorusha makombora sasa hivi Syria kutokea kwenye Destroyers ambazo zipo Pia mediterranean ocean.Hii ni hatar kwa usalama wa dunia.Wale watu wa mungu msali tu sasa huu ndo muda
Binadamu tuna mapungufu/madhaifu yetu, lakini huyu jamaa sikuona mapungufu yake.Martin Luther alisema.
Ukiona mpaka sasa(kwa wakati wake ule) nchi zinawekeza zaidi ya asilimia70 ya uchumi wake ktk maswala ya ulinzi ni ishara kuwa hakuna uhuru na amani ya kweli ktk nchi (na dunia kwa ujumla)
Hamfahamu tu namna vile Warusi walivyo, ile red line waloichora ikivukwa tu basi mtapata kuwafahamu na hapo ndiyo utajua ubora wa hiyo mifumo nk .Ile mifumo ni kwa sisi tu tunabishana hapa ila kiukweli hakuna inachoweza fanya
Juzi juzi tu Israel kaingia na ndege zake pale
Putin akaanza piga kelele
Leo kapigwa na hiyo mifumo yake anaanza leta bit za kupeleka aircraft carrier Med Sea
nitafute asap"Kutakuwepo na tetesi za vita kila mahali na matetemeko, hata hivyo huo mwisho utakuwa bado"- tafsiri isiyo rasmi ya maandiko matakatifu
Ila nani atapigika?
Wewe sio mwandani wake utajuaje mapungufu yake mtu umemsoma tu kwenye vitabu ulitegemea waandike mapungufu. kunabinadam aliye kamilika kweli?
Kufanya kazi na Russia siyo lazima kushirikiana! Inaweza kumaanisha kumpiga pia!Trump anaendelea kufeli kisiasa
alisema atafanya kazi na Russia,sasa wanatushiana
alimcheka Obama kwa hatua alizokuwa anachukua dhidi ya Syria,naye anafanya hayo hayo
Mkuu unaziamini taarifa toka BBC zinazo zungumzia nguvu au uwezo wa kivita na kiuchumi wa Urusi? Uingereza ni adui namba moja au mbili wa Urusi(Russia). Sehemu kubwa ya habari zao zinakuwa za propaganda au zinachaguliwa zile zenye kuonesha udhaifu wa Russia lakini wakati huo huo kuna habari nyingine nyingi ambazo za matukio ya ubora/uimara wa Russia lakini hawazirushi BBC makusudi. Kama kuna makombora au ndege za Uingereza na washirika wake zinaporomoshwa na silaha za warusi hawawezi kuzirusha au watarusha idadi ya uongo kukwepa mgogoro wa kisiasa na wananchi wao.According to BBC hyo mifumo cha kushangaza haikufua dafu
Upele umempata mkunaji... Trump kinukishe tu