Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Huyo jamaa anampiga huyo mwanamke,unadhani ndio mapenzi ya kweli au ni uonevu?Sijaelewa hiyo pic Washawasha......
Huyo jamaa anampiga huyo mwanamke,unadhani ndio mapenzi ya kweli au ni uonevu?
Nalog off
sasa kama ndio mumeo utakimbilia wapi? si atakufuata huko huko kwenu.Uonevu....yaani hata ningekuependeje masihara yote tufanye ila mambo ya kupigwa hapana...ukishanipiga hunioni tena....
sasa kama ndio mumeo utakimbilia wapi? si atakufuata huko huko kwenu.
Nalog off
Lakini mpaka anafikia hatua ya kukupiga ujue umemtenda sana sasa kachoka.Mume mpigaji atanishinda....
Lakini mpaka anafikia hatua ya kukupiga ujue umemtenda sana sasa kachoka.
Nalog off
mbona sisi wanaume ni maromantic sana hatuchelewi kuwaimbia zile nyimbo nzuri nzuri.Loh wengine umekosea kidogo tu kipigo.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mimi simo mchanga wa pwani huo.Jamaa amekaa ka mkurya ..
ha ha lol unataka ukikosea kikubwa ndo upigwe.yaani mrembo kama wewe upigwe kwa kweli kumpiga mkeo ni uonevu.wengine wana waharibu wenzi wao sura.Loh wengine umekosea kidogo tu kipigo.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ka mkurya? ni mkurya asilia huwa wao wanasema mwanamuke bira kumugaragasa kwa makobhi mwanamuke hawesi kukuhesimuJamaa amekaa ka mkurya ..
ha ha lol unataka ukikosea kikubwa ndo upigwe.yaani mrembo kama wewe upigwe kwa kweli kumpiga mkeo ni uonevu.wengine wana waharibu wenzi wao sura.