HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,591 Oct 17, 2012 #21 Jamani hawa watu waishi wenyewe trust me wengi wataumia aiseee tuvunje huu muungano Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Jamani hawa watu waishi wenyewe trust me wengi wataumia aiseee tuvunje huu muungano Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Thanda JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,915 Reaction score 596 Oct 17, 2012 #22 Sidhani kama wanahitajika bara...halafu kutokana na mabadiliko ya kijiografia Zanzibar itafutika baada ya miaka michache ijayo.
Sidhani kama wanahitajika bara...halafu kutokana na mabadiliko ya kijiografia Zanzibar itafutika baada ya miaka michache ijayo.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,591 Oct 17, 2012 #23 Hawa watu tuachane nao waishi wenyewe laa sivyo ioo siku kitanuka kweli kweli Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hawa watu tuachane nao waishi wenyewe laa sivyo ioo siku kitanuka kweli kweli Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Thanda JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,915 Reaction score 596 Oct 17, 2012 #24 Vita ya Rwanda ilianza kiutani utani....mwisho wake mauaji ya kimbari.
watambi JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 335 Reaction score 268 Oct 17, 2012 #25 Sijawai kusikia vitu vizito huko zanzibar kama awana wakaazime kule iringa
M masagati JF-Expert Member Joined Oct 16, 2012 Posts 496 Reaction score 368 Oct 18, 2012 #26 Kuna tatizo la udini